Kisa wivu wa mapenzi, mume adaiwa kumuua mke kisha kumtenganisha kichwa, kiwiliwili na viungo vingine

Kisa wivu wa mapenzi, mume adaiwa kumuua mke kisha kumtenganisha kichwa, kiwiliwili na viungo vingine

Taifa liiitishe maombi kwa ajili ya kanda ya ziwa

Matukio yamezid huko kati ya matukio 5 yanayoripotiwa humu jf bas 4 hutoka huko
 
Huyu mbususu aliipenda kweli, viungo vingine kavitupa majarubani lakini mbususu kaizika nyumbani.
🤣🤣🤣🤣Nyie acheni bwan kutombewaa mke inauma....ukikumbuka kiwa kuna wakati de libolo ilichomoka na mke akairudisha mwenyewe.....unaua kabisa
 
🤣🤣🤣🤣Nyie acheni bwan kutombewaa mke inauma....ukikumbuka kiwa kuna wakati de libolo ilichomoka na mke akairudisha mwenyewe.....unaua kabisa
Wanaume wabinafsi sana nyie, wanawake tungekuwa na roho hizo asingebaki mwanaume mtaani, tungewaekea sumu kwenye ugali mfe....nyie mnachepuka hadharani.....acheni wanawake nao wabadilishe ladha, muhimu hainaga last seen Ile🤣
 
Wivu pro max.

Jamaa kakatakata viungo yeye katishwa kidogo katapika kila kitu.

Huo kweli ni wivu wa mapenzi
 
Wanaume wabinafsi sana nyie, wanawake tungekuwa na roho hizo asingebaki mwanaume mtaani, tungewaekea sumu kwenye ugali mfe....nyie mnachepuka hadharani.....acheni wanawake nao wabadilishe ladha, muhimu hainaga last seen Ile🤣
Wala sio ubinafsi bwana wewe. Yaani wee mie nahudumia mbususu hiyi inakuwa safi unameremeta alafu u aenda kuigawa tuu...hapana bwana. Wee kama mbususu unahihudumia mwenyewe mbona ata uwape wanaume mia wala sitakuwa na presha nawe.
 
Wanawake chagua moja.
1. Usijiingize kwenye ndoa kwa kupima upepo.

2. Ukiingia kwenye ndoa punguza nyegere
 
Kwa nini haya mambo huwezi kuyasikia sana pwani?
 
Madhara ya mange kimambi yatajitokeza sana nchi hii kwani anawafundisha umalaya wanawake na wao wanamuiga na kuambukizana hadi kwa watu wa vijijini.

Kuna kizazi cha ajabu sana cha wanawake kimeibuka siku hizi ingawa siungi mkono wao kuadhibiwa kwa kuchinjwa ama kupigwa risasi.

Huwa ni bora usiingie kwenye ndoa iwapo unahisi bado kuna mambo hujakamilisha.

Kama taifa tukemee kwa nguvu mambo yanayochochea mmomonyoko wa maadili katika mahusiano na ndoa.Lakini tukilaani tu mauaji,hayataisha kabisa.Ndio kwanza hata haya mauaji yanakuja kama wimbi.
Nendeni tu mkaangalie comments za wanaume kwenye uzi wa mauaji ya side ndio mtajua kwamba hali si shwari.
 
Wanawake mdio mkome kama mumeo hakupeleki moto sepa hamia kwa anekupeleka moto sio unatuzwa na mumeo unapendeza afu unagawa mbususu huko mtakwisha.... Watu washavurugwa sa hv
 
Inasikitisha sana.
Ukiona mambo ndani ya ndoa hayaendi, ni vizuri muachane kwa amani.
Wazee wetu waliweza kuishi na Mama zetu mpaka wakazeeka pamoja tujifunze kutoka kwao.
Mama zetu waliandaliwa kuwatii waume zao na kulea familia. Dada zetu siku hizi wanaandaliwa kuwatawala waume zao. Kitchen party wansfundishwa kukata kiuno na siyo kumnyenyekea mume. Haya mambo yataendelea unless turudi kwenye midingi waliyoitumia wazee wetu.
 
Mwanaume mmoja Mkazi wa Kitongoji cha Lubela, Mtaa wa Nyashimbi, Kata ya Mhongolo wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga, Bundala Mathew anashikiliwa na Polisi, kwa tuhuma ya kumuua mkewe, Rehema Nyamgila kwa kumcharanga mapanga.

Imedaiwa baada ya kutekeleza mauaji hayo, alitenganisha viungo vya mwili wa mkewe na kuchukua baiskeli na kuvisafirisha mpaka mbugani usiku wa manane na kuvitawanya ili kupoteza ushahidi.

Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo, Magdalena Katambi ambaye ni mtu wa karibu na familia hiyo, alidai kuwa tukio hilo liligunduliwa na mtoto wa marehemu, Ezekiel Bundala tarehe 27 Mei 2022.

"Nilienda kumjulia hali mtoto aliyekuwa anaumwa, ndipo Ezekia akanijulisha kuwa mama yake hayupo funiani.

“Ameniambia aligombana na baba yake kwa kuwa aliona beseni likiwa na damu lakini baba yake akawa anasema hizo ni rangi tu na siyo damu.”

Anasema wakatoa taarifa kwa ndugu, majirani na Polisi, ndipo mtuhumiwa baada ya kubanwa akawapeleka alipoutupa mwili, wakaukuta ukiwa umekatwa vipande.

Alidai ljumaa mwili ulipelekwa kuhifadhiwa mochwari ya Hospitali ya Manispaa ya Kahamana, 28 Mei 2022, Polisi walirudi na mtuhumiwa kuonesha mahali alipohifadhi viungo vingine vya mwili huo, ndipo kichwa kikapatikana kimezikwa juu ya kaburi la marehemu babu yake kwa mama.

Magdalena alidai viungo vingine vya sehemu za siri na matiti vilipatikana karibu na mlango, kwenye mafiga ya jiko, ndipo alipozika, huku akitaka watoto wake wapikie hapo mara kwa mara, kwani ameweka mbayuwayu wake akauke kwa ajili ya kutengenezea dawa.

"Baada ya askari kumhoji tena wapi vilipo viungo vingine, aliwapeleka mbugani ulikookotwa mwili katikati ya majaruba ya mpunga ilipatikana mikono na magoti, lakini wakati huo vidole vya mikono na miguu havikuonekana, kwa kweli tukio hili limetusikitisha na kutuachia simanzi kubwa," alisema Magdalena.

Hata hivyo, mama mzazi wa mtuhumiwa, Mhoja Bundala alidai kupata taarifa kwa watu kuwa mwanawe ameachana na mkamwana wake, hivyo akawa anasubiri taarifa rasmi kutoka kwake, lakini ajabu aliletewa taarifa za tukio hilo la kushitua.

Mwenyekiti wa Mtaa wa Nyashimbi, Peter Nzingula alisema tukio hlilitokea usiku wa Mei 27, 2022.

Anasema alipohojiwa chanzo cha kufanya unyama huo, mtuhumiwa alidai alikuwa na wivu wa mapenzi.

Ofisa Mtendaji wa Kata ya Mhongolo, Boniphace Maziku alidai kuwa tukio hilo lilitokea kwenye kata yake Mtaa wa Nyashimbi, na alishirikiana na viongozi wa ngazi ya mtaa, kutoa taarifa sehemu husika, na sasa uchunguzi wa tukio unaendelea Polisi.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, George Kyando amethibitisha uwepo wa tukio hilo na kuongeza kuwa uchunguzi wake unaendelea, na sheria itachukua mkondo wake.

Marehemu Rehema ameacha watoto wanne.


Source: MwanaHalisi
Kanda ya ziwa kunanii.. Na usiombee awe mweupe wivu unazidi
 
Hii Hatari Sana Lakini Maisha Lazima Yaendelee Tu
 
Wanaume wabinafsi sana nyie, wanawake tungekuwa na roho hizo asingebaki mwanaume mtaani, tungewaekea sumu kwenye ugali mfe....nyie mnachepuka hadharani.....acheni wanawake nao wabadilishe ladha, muhimu hainaga last seen Ile🤣

Hapana kwa jinsi hali ilivyo na Magonjwa kila kona utakuwa unaangamiza familia yako mwenyewe.
Ukishaona hiyo hali ya uaminifu haipo ndani ya ndoa basi kuna tatizo.
Wanandoa wanaojielewa sidhani kama kuna mtu anaweza waza huo upuuzi.
 
Back
Top Bottom