ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Toka maza juzi atoe boko mbele ya jukwaa la biashara kwa kuwapiga mikwara vijana kwa atawatandika mikwaju basi ni kelele kote watu walidhani maza angekuwa kinyonge kumbe unyonge sio pigo zake sasa watu ndo wameshamwelewa...
Me kila siku nawaambia unatakiwa kuishi kama vile serikali haipo yaani utafute sehemu ambayo kwako ina unafuu...serikali au taifa ni kama nyumba kubwa yenye vyumba vingi ukiona chumba unachotaka AC haifanyi kazi hamia kingine
Kwanza Tofautisha serikali na utambulisho wako
Serikali ni mfumo au viongozi wa muda si lazima iwe sawa na thamani yako binafsi, watu wote wa taifa lako, au maisha yako yote.
Ukichanganya vitu hivyo, hasira inaweza kuwa nzito zaidi na kugeuka kukata tamaa .Ukikaa kwenye habari za kisiasa masaa mengi kila siku akili inaweza kuingia kwenye hali hofu na hasira.punguza doomscrolling na kubalance na maisha halisi husaidia afya ya akili..sikilizia hata Michano ya kina tukusa huko fuatilia content huko Instagram za technolojia burudani n.k...ufurahie maisha cheki movies,panda miti,kunywa wine,kaa na watu piga nao stori,jenga maisha yako binafsi..l
eo hii inafikia hatua wanachukia watu wote wanaofikiri tofauti,mnatamani madhara kwa kila mtu,mnashindwa kufurahia maisha kabisa basi hisia zimeanza kuwatawala si mfumo tena.Kumbuka kuwa unaweza kupenda watu wako bila kupenda serikali
Watu wengi duniani hutenganisha taifa lao,tamaduni zao,familia zao na serikali iliyopo madarakani.Ni basi tu sina hela ila kibongo bongo kama una hela fulani kama million 100 hivi naenda zangu Bush zurizuri natengeneza serikali yangu mimi yaani nyumba yenye zoo na bustani na solar na kisima.. safi kabisa SERIKALI kuu naiachia inisaidie matibabu na labda kupata passport na mambo mengine...sio eti niandamane kwa ajili kuwe na tume huru ambayo mwisho wa siku itasaidia chadema kushinda lets say 30 % viti vya ubunge enhe baada ya hapo wakishinda 30% baada ya tume huru kuwepo ndo kila kijana atafanikiwa????