Kisamvu...

Kwahiyo kwa sasa unakipata na kukitumia kwa urahisi??
 
Jinsi uliivyoelezea umenifanya kama nakuona kabisa jinsi unavyoipika hiyo mboga ya Kisamvu. Yaani mwili wote ulikuwa unasisimka kwa raha. Kama hautojali tupia hata ka video clip bibie.
 
Jinsi uliivyoelezea umenifanya kama nakuona kabisa jinsi unavyoipika hiyo mboga ya Kisamvu. Yaani mwili wote ulikuwa unasisimka kwa raha. Kama hautojali tupia hata ka video clip bibie.
Lol,.ntajitahidi basi kunogesha na video siku moja,.😊
 
bila shaka jikoni unatokaga na clean sheet na kupiga hat-trick kipenzi
Ingekuwa kwenda mbinguni darling aki vile ningekaa upande wa kuume kabisaaa,.sio kwa mahanjumati hayaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…