Kisamvu...

Kisamvu...

Nyau wewe wa kijivu,.una nini lakini leo...umefumaniwa eee [emoji23][emoji23][emoji23]
Mie naomba tu useme yote juu yangu, hata ukiniita kichwa, as long as its because of you , nataka nile chakula chako, kisha naww unpe sababu ya kuoga na kuchafua mashuka yaan kukukula [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji6]

Kua na Huruma MwanaJF mwenzangu [emoji6] [emoji6] nakuja Dar sina wakunipokea hahahaha
 
Hivi kwa nini kisamvu huwa hawaoshi? Na mtoa mada kwenye hatua zako sijaona kuosha

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisahau kuliweka hilo,.lakini wengine wanaosha kama mboga zingine na si vibaya,.halina mwiko hilo..
Ila nadhani wengi hawaoshi kwa sababu wanaamini mboga ya juu si rahisi kupata uchafu kama mchicha au matembele,mvua zikinyesha tunaamini zinasafishika vizuri,na hata usipoosha hukuti mchanga kwenye kisamvu labda vyombo utakavyotumia viwe na michanga....all in all kuosha ni vizuri zaidi.
 
Mie naomba tu useme yote juu yangu, hata ukiniita kichwa, as long as its because of you , nataka nile chakula chako, kisha naww unpe sababu ya kuoga na kuchafua mashuka yaan kukukula [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji6]

Kua na Huruma MwanaJF mwenzangu [emoji6] [emoji6] nakuja Dar sina wakunipokea hahahaha
Me niko nanjilinji siku hizi,..we nenda tuu wakukupokea hawakosekani😜😜
 
Wengi hawaoshi
sio kweli wanaoshaga bana
Msome Mother Confessor hapa chini [emoji116][emoji116][emoji116]
Nilisahau kuliweka hilo,.lakini wengine wanaosha kama mboga zingine na si vibaya,.halina mwiko hilo..
Ila nadhani wengi hawaoshi kwa sababu wanaamini mboga ya juu si rahisi kupata uchafu kama mchicha au matembele,mvua zikinyesha tunaamini zinasafishika vizuri,na hata usipoosha hukuti mchanga kwenye kisamvu labda vyombo utakavyotumia viwe na michanga....all in all kuosha ni vizuri zaidi.
Wadudu warukao na ndege wanaweka uchafu wao humo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3]ndio maana nikasema kuosha ni vizuri zaidi,.japo kiuhalisia wengi hatuoshi kisamvu,..
Ujue mimi kisamvu nimeanza kula mjini hapa, nilikuwa nakula kilichopikwa na wengine mimi sikuwahi kupika na nikatkea kukipenda kweli. Sasa kuna huyu jirani yangu siku ya kwanza akasema njoo tuchume kisamvu nikafurahi kweli nikasema nakipenda sana, kweli tukachuma kwenda kutwanga sasa lahaulaaa kinatiwa kwenye kinu bila kuoshwa...nilikula kwa tabu sana. Tatizo ni kwamba tangu siku hiyo jirani akipika kisamvu lazima anigawie kusema kweli huwa sili nakimwaga, na ninatafuta njia ya kumwambia asiwe ananipa nakosa kabisa sijui nifanyeje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi
Mie huwa nakichemsha
Kikianza kuwiva nakatia kitunguu maji

Naacha vinachemkia
Naweka karoti (box shape)

Naacha kidogo
Naweka nazi ya kwanza

Kisha nazi ya pili

Nachemsha mpaka kikauke...

Nimekimiss Leo nikipike lol
Mie pia hukipika hivyo kasoro carrots tu.
 
Ujue mimi kisamvu nimeanza kula mjini hapa, nilikuwa nakula kilichopikwa na wengine mimi sikuwahi kupika na nikatkea kukipenda kweli. Sasa kuna huyu jirani yangu siku ya kwanza akasema njoo tuchume kisamvu nikafurahi kweli nikasema nakipenda sana, kweli tukachuma kwenda kutwanga sasa lahaulaaa kinatiwa kwenye kinu bila kuoshwa...nilikula kwa tabu sana. Tatizo ni kwamba tangu siku hiyo jirani akipika kisamvu lazima anigawie kusema kweli huwa sili nakimwaga, na ninatafuta njia ya kumwambia asiwe ananipa nakosa kabisa sijui nifanyeje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie tuu awe anaosha jamanii..
 
Back
Top Bottom