barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,880
Mu
Muitaliano,tena mtoto wa DownTown Rome CityHivi ni muitaliano? Hata mimi nilipomuona nilimshangaa nikadhani sio mkatoliki maana mapadre wa katoliki wamezoeleka kuonekana na magari ya kifahari ila yeye yupo na baiskeli tu.
Kuhusu kwenda mbinguni kama ulivyomtabiria ni suala ambalo lipo nje ya hisia za kibinadamu. Ni Mungu tu ndiye achunguzaye mioyo ya watu anafahamu mtumishi wake wa kweli ni nani kwa sababu wapo watu wanaoweza kuigiza matendo ili tu wapate kutazamwa na watu.