Tetesi: Kisandu ni kweli kajiengua Kanisa Katoliki

Mu
Muitaliano,tena mtoto wa DownTown Rome City
 
Akae tu kimya.... wengi tulitoka kwenye ukatoliki kimya kimya.... wengine tulifikia hatua za juu kabisa kuwa mapadre.... tumeacha ndugu huko ambao ni maaskofu so hiyo sio ishu...
..haaa mambo ya scorpion haya ....machoni tiii...Daah haya ndugu
 
mtoto wa mnyonge acha kutuchezea akili na hiyo kisandu wako... umeendabulokole nanleo umekuja na thread ya kuponda ulokole... we utakuwa unalaaana
 
Kuzaliwa 1980 alafu unagombea urais mbona hujatimiza miaka 40.
 
Mjinga tu huyu anatafta kiki za msimu. Unajitoa kwenye dini eti kulipa kisasi. Sasa unajikomoa wewe au ao watawa waliokukana?
 
Mkuu, design Kama unantisha hivi..
 
Mkuu, design Kama unantisha hivi..

Mkuu;
Mbona sijakutisha?? Someni ukatoliki kabla hujafanya chochote. Kwanza, hata weye, sasa kwakuwa umeshasikia kuwa kuna dini katoliki, usipoamua kujiunga nayo, kwa maneno ya huyo Papa Pius X, atii, mahali unakojipeleka mwenyewe ni jihanam ya moto bila hata kupitia Tuharani uombewe misa.
 
Hakiks huyu Kisandu ni mental case! Msaidieni jamani, msimcheke! Anasikitisha. Anahitaji msaada wa haraka wa kisaikolojia. An marafiki wanaojitambua kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…