Tetesi: Kisandu ni kweli kajiengua Kanisa Katoliki

Ulijiunga ukiwa ujabatizwa still ukataka uende haraka ktk hatua za Kanisa, kwa maelezo yote haya inaonesha una tatizo linakusumbua usipo lishughulikia mapema utachanganyikiwa maana Kama hukufanikiwa kuwa mtawa na unasema kanisa limekukana ?? Ukiwa mtumishi wa kanisani unataka utambuliwe kma nani tena ktk maisha yako ya sasa ?? Unataka Kanisa likusaidie ktk siasa ??
To Kisandu
 
Kwani kanisa katoliki linawapiga risasi wanaojitenga na kanisa hilo? Maana jamaa amesema haogopi kupigwa risasi, hii ina maana kuna kitu kimemsukuma akaandika hivyo.

Hapo aliposema amejibatiza ndo ameonesha kutia fora maana hata Yesu hakujibatiza bali alibatizwa na Yohana.
 
Naanza kumuona kibwetere


mshan jr;
Umemwona wapi hapa?? Jamaa kajitoa kwa makeke hataki kuyafanya mambo kwa siri ka sisi wengine. By the way, who is Kisandu? Ana nini hadi kutangazia Katoliki kuwa wasimfuate fuate?? Kwani yeye ndo wa kwanza kuuacha Ukatoliki??
Aelewe kuwa Papa Pius wa X alisema katika mtaguso mkuu kuwa, mtu yeyote atakaye uasi Ukatoliki, akifa ni motoni milele hivyo Kisandu jiandae kabisa kwenda motoni. Tuulize tulioukulia huo Ukatoliki
 
Lengo hasa la kujitangaza kuwa umejitoa ukatoliki ni nini hasa au unataka kufungua kanisa lako unatafuta waumini?
 
huyo kisandu ni nani na anaumuhimu gani kwenye kanisa katoliki mod tuondoleee uchafu huu.
 
Papa ndio nani hadi ahukumu wengine kwenda motoni wewe
 
Kwanza kabisa nikupongeze Chrisanto kwa kufanya maamuzi ya haki ya kubadili dini bila shuruti. Ni ukweli ulio dhahiri kwamba ndani ya kanisa katoliki kuna dhuruma nyingi sana. Kanisa katoliki ni moja ya taasisi zilizobaki duniani zinazoongoza kwa dhuluma,ukiukaji wa haki za binadamu na udanganyifu.Mfumo wa kanisa katoliki unaogopa sana UKWELI NA UWAZI. Unapenda usiri na uongo. Watu wengi wamekuwa wahanga wa mifumo hiyo ya kitawa, ambayo uwepo wake upo kisiasa(religious politicts) zaidi. Na siyo kiimani. Hongera kwa kutambua hilo na kuamua kuwa huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…