Tetesi: Kisandu ni kweli kajiengua Kanisa Katoliki

Naona umeamua kuibwaga kampun ya wazungu wa Roma
 

Mkuu,
Miye nishapita wakati ule wa kulaumu. Nkulaumu weye iwe nini?? Ila, kusema ati waliofukuzwa huko walikuwa wameenda kutafuta maslahi sidhani ka unawatendea haki. Pia kusema kuwa ati yalikuwa mapenzi ya Mungu, humtendei haki Mungu hapo pia.
Yapo mambo hufanywa na mtu kwa sababu ya chuki binafsi au uamuzi mbaya tu. Hakuna haja ya kumlaumu mtu na kamwe sintamlaumu aliye ninyima daraja hilo.
Mbona maisha yameninyookea vizuri tu mpendwa?? Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi
 
Juzi tarehe 15/10/2016 siku mbili kabla huja asi Kanisa Katoliki, Ngokolo Shinyanga wamebatiza watoto 70, huku wakikupoza wewe mmoja! Naona hii ungekaa kimya ujuane na Mungu wako tu.
 
kanisa Lina waunimi wengi mnoooooo,aende tu
 
Akae tu kimya.... wengi tulitoka kwenye ukatoliki kimya kimya.... wengine tulifikia hatua za juu kabisa kuwa mapadre.... tumeacha ndugu huko ambao ni maaskofu so hiyo sio ishu...
We labda ulikuwa sister mkuu siyo padri.
 
Punguza hasira jaribu kusoma ulichoandika na utafakari.
 
Suala kama Hilo ni personal sana. Halina mashiko kuandika kama insha ya kugundua sayari mpya. Martin Luther started it and it is all quiet
 
So what...?

Heeeeeeeeh, makubwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Sasa huyu Ndugu analalamika nini????!!!! Ya Kaizari mwachie Kaizari na \ya Mungu tekeleza.....sasa wewe mara sijui utawa mara kugombea urais, wapi na wapi.....
 
Eti ni msomi, jamani! Mtu mzima kabisa unaona hili ni suala la kuweka hadharani? Blair pamoja na umaarufu wake wote haikuwa issue kuhama Anglican kwenda Katoliki sasa huyu jamaa yeye kaona ni jambo la maana sana kutujuza
 
Eti ni msomi, jamani! Mtu mzima kabisa unaona hili ni suala la kuweka hadharani? Blair pamoja na umaarufu wake wote haikuwa issue kuhama Anglican kwenda Katoliki sasa huyu jamaa yeye kaona ni jambo la maana sana kutujuza
Unapohama dini huhitaji kuutangazia umm
a. Dini ni kama chama cha siasa. Unaingia kwa HIARI, unatoka kwa HIARI. Mimi ukatoliki nilishahama siku nyingi. Na sikutangaza hata kwa ndugu zangu. Matters of faith are private affairs. Madhehebu ya dini siyo imani. Mungu hana madhehebu. Madhehebu yapo kwaajili ya kukidhi hisia na matakwa ya binadamu.Martn Luther alisema SOLA FIDE, imani peke yake na NENO LA MUNGU(sola scriptura) ndo humpeleka mtu kwa Mungu. Kisandu huhitaji kupanic na mambo ya madhehebu. Sioni kama kuna madhara yoyote yale kwa pande zote kwa mtu kuamua kuhama dhehebu au imani. Kama walikukataa, who are they? Je ni ndugu zako? ACHANA NAO! FORGET ABOUT THEM AND IGNORE THEM ALL. Kwani wanakusaidia nini? Influence ya kanisa ktk ulimwengu wa leo ni ndogo sana.
 
Wanaohama dini au dhehebu wote wangekuwa wanaandika humu, basi seva zingejaa kwa mada za kuhama dini au dhehebu...

Akihama kardinali, mufti, raisi wa nchi, mashehe wakuu, maaskofu wa majimbo.... hao ndo tutaandika humu.... wengine nyie hameni tu
 
Mgonjwa mwingine asiyejijua. Ukatoliki ni hiari kuufuata. Tatizo ni mtu anapoamua kuwa mtawa ili apone njaa hapo. Hakuna mitaji katika dini Za kweli.
Upo bado gizani au umejipa ukipofu kwasababu ya kuogopa kusikia ukweli juu ya dhehebu lako. Huo ndo ukweli wenyewe.
 
so what?
 
Kwani uliambiwa Jamii Forums ndipo kanisa katoliki lilipo hamisa? Ungeenda kukikana kiapo cha ubatizo na kuikataa imani katoliki uliyokiri siku zote sio kuja kutokwa povu huku.
 
Duuuuuuu. Kumbe hata Yesu Kristo hakujibatiza? Kweli chura anarukaruka
 
Na ndo maana hawakukupandisha daraja walikuchunguza wakaona hueleweki. Sasa cheki eti ulitaka kugombea uraisi kwa mgongo wa Utawa? Inaonekana unapenda majukwaa ila uwezo mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…