Tetesi: Kisandu ni kweli kajiengua Kanisa Katoliki

Unatujazia Inzi tyu
Mambo yako hayo kawaambie kanisani kuwa ww cyo wa dhehebu lao.
 
Lengo hasa la kujitangaza kuwa umejitoa ukatoliki ni nini hasa au unataka kufungua kanisa lako unatafuta waumini?

umewaza nilichokuwa nafikiri amejitahidi sanaaa kuandika historia ndeefuu ya maisha ila sijaona mantiki hapo.
Zaidi nimeona promotion ya kanisa lake.
 
 
umewaza nilichokuwa nafikiri amejitahidi sanaaa kuandika historia ndeefuu ya maisha ila sijaona mantiki hapo.
Zaidi nimeona promotion ya kanisa lake.
Kwa kumsaidia zaidi namshauri aanzishe kanisa lake ili awe huru. Vinginevyo ataendelea kuingia taasisi za wengine na kutoka, mpaka anazeeka.
 
Huyu jamaa ana matatizo gani ?yeye mwenyewe kwenye maelezo yake anajichanganya!!amesema aliachana na safari ya kuwa mtawa akiwa katika hatua ya UHITAJI baada ya kuona hapandishwi daraja.Leo hii anawalaumu Mapadre na Wakatoliki kwa kusema hawamtambui kama aliwahi kuwa mtawa.Sasa hukuwahi kufika daraja la utawa leo hii unataka utambulike kama mtawa ,huu tuuteje?ujuha au?
 
It's enough! Nimesoma thread yote lakini nimeshindwa the logic behind the thread! Nikaamua nisome comments za Wadau nikitarajia huenda ningeelewa kupitia posts zao... nimesoma hadi page ya 3; sijaelewa... sijui kwavile sina upako! Nimeshindwa mimi...
 
Bwana Kisanduku unaonesha kulalamika kwa kutosomeshwa na kanisa sababu ya msingi ni nini hasa? Wewe baada ya kuacha utawa umekuwa muumini kama waumini wengine sasa kanisa likusomeshe ili iwe nini?

Badala ya kulisaidia kanisa unataka kanisa likusomeshe wewe na wewe si yatima.Acha kujidhalilisha bana
 
Mantiki ya hii topic ni nini kwa anayeelewa??
Ninavyojua jua mimi waumini wengi wa madhehebu madogo wametokana na madhehebu yale makubwa. Honestly, sijaelewa issue hapo nini..
Hata mimi sijaelewa anataka kueleza nini,kwani kuacha kusali ktk kanisa au msikiti si unaacha tu kwani lazima?
 
Deo Kisandu, nimesoma na kuelewa. Umeamua kubadili dini kwa sababu ya kutengwa. Fine, ndiyo mapitio uliyoandaliwa.

Hata hivyo bado hujafika mwisho wa safari yako. Kwa sababu umejibatiza na hakuna wa kukufundisha imani.

Mfano wa mtume Filipo na yule kiongozi wa jeshi, utumie ili upate pa kuanzia.

USHAURI.
Kama kweli umeamua kubadilika, siyo vema kujibadili mwenyewe. Mpe Yesu nafasi akubadilishe.

Tafta Kanisa la Kristo mahali popote ulipo, wana huduma ya neno la Mungu bure kabisa, inalipiwa na waumini wenyewe.

Ukikaa mwaka mmoja wa kujifunza, utaamua hatima njema sana.

Sikuelekezi kanisa la Kristo kuwa muumini, bali nakuelekeza kwenda kujifunza. Utakuja kuniambia
 
Umeandika ovyo ovyo tu bila mpangilio should yako ina kiraka mwalimu deo
 
Wengine kwa fitna za huyo pengooo tuliachishwa upadre leo tupo tena tunafurahi kwa kuukosa, iwe uburuda. Chaaa! ote naiyo, na ufilie mbali huo ukaatoliki
Utajifia ww na katoliki huipunguzii lolote ww.
 
June 18, 2014
Mwanza, Tanzania

NCCR – Mageuzi chapata pigo Mwanza, Mwl. Deogratius Kisandu ajivua uanachama

Chama cha NCCR – Mageuzi kimepata pigo Mwanza baada ya aliyekuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa (MNEC) Mwl. Deogratius Kisandu kutangaza rasimi kujivua uanachama kwa madai kuwa chama hicho hakimsaidia baada ya kupata ajali.

Awali akizungumza na waandishi wa habari Kisandu alisema alipata ajali mwaka jana wakati alipokuwa akieleka kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani wilayani Sengerema kata ya Nyampulukono akiwa msimamizi wa uchaguzi huo akiwa na wenzake ambapo alipata ajaLi na kumsababishia majeraha kwenye mwili wake.

Kufuatia kitendo hicho Kisandu alisema chama hicho hakina demokrasia kwa wananchama wake na kwamba amejifunza mengi kupitia chama hicho.

“Hatuwezi kusema nchi haina demokrasia kama hatujatenda haki kwa wanachama au wananchi wetu”, alisema Kisandu.

Kisandu alidai kuwa kwa sasa ameamua kupumzika siasa na kuangalia mustakabali wa maisha yake ya kifamilia huku akitafakari ni chama kipi kitakuwa na mwelekeo kwake kwa ajili ya siasa.

“Kwa sasa nimeamua kupumzika na familia yangu iliniambia niachane na siasa za vyama na kuhusu chama gani nitaelekea nitaeleza siku ikiwadia”, alieleza Kisandu.

Aidha aliwaomba wapinzani kuacha kuipinga bajeti kuu ya serikali isipokuwa waitolee ushauri ili kuhakikisha bajeti inayopita inakidhi mahitaji ya wananchi.

“Bajeti ni ya Watanzania wote kama tutaamua kuikosoa tu serikali bila kutoa njia mbadala ya kuisaidia tutakuwa hatujafanikisha kitu chochote, ”aliongeza Kisandu.

Hata hivyo alisema Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) sio kwa ajili ya wananchi kwani umoja huo umetokana na watu wachache huku vyama vingine vya upinzani vikiachwa na kuhoji kuwa wao wako upande upi.
Source: Chama cha NCCR – Mageuzi chapata pigo Mwanza


Soma hii : JAN 4, 2013

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


UAMUZI WANGU WA KUJIUNGA NA NCCR – MAGEUZI


Ndugu wanahabari,
Mimi ninaitwa Deogratius Kisandu, nimehitimu katika Chuo Kikuu cha Sebastian Kolowa huko Lushoto (SEKUCO) nina Shahada ya Elimu Maalum, Siasa na Utawala.
Nilikuwa mwanachama na kiongozi wa CHADEMA katika nafasi za; Katibu wa Wilaya ya Lushoto na Katibu wa Vijana wa Mkoa wa Tanga (Bavicha)........

Aliyekuwa kiongozi wa BAVICHA atua NCCR-Mageuzi
 
Mkuu mtoto wa mnyonge naomba nikuswalike swali: kwani huyu KUSANDU ni nani ktk nchi hii? Na, je kuna mtu yeyote anayemtisha asihame dini? Alivyoandika inaonekana kuna mtu anamtishia maisha kwa sababu ya kuokoka. Je, ni nani huyo? Ni serikali ya CCM au ni mtu binafsi? Nauliza hv kwa kuwa tumezoea kuiona serikali ikiwa mstari wa mbele kuwaua watu wanaoipinga katika msitu wa mabwepande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…