Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
ewaaa, Sasa Membe sio mgeni atachukua form ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wa CCM taifa.Katiba yetu hairuhusu mgeni kugombea nafasi ya juu mpaka miaka 5 ipite
Tunasubiri tamko koko la kamati kuu ya chadema au tayari limetoka sijaliona humu?
Achukue tu atafyekwa kwa kukosa vigezoewaaa, Sasa Membe sio mgeni atachukua form ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wa CCM taifa.
Umemaliza wewe zumbukuku!Ilikuwa mbwembwe za hali ya juu kwa rubani mkuu wa shirika la ndege ufipa alipoamua kujiokotea abiria na wengine hakuwajua tabia zao, Aliondoa ndege hiyo uwanja wa ufipa.
Ndege hiyo ya mabua wapo walioshauri rubani watu uliochukua wengine wana silaha wanaweza kukukaba na ni lazima wachunguzwe mienendo na tabia zao huko walikotoka. Rubani alikuwa mzito wa kupokea ushauri, mshauri mkuu akaamua kuachia ngazi,
Rubani akatangaza anabadili gia angani mlio mbaya wa mashine uliotoka kwenye hiyo ndege na moshi ni hatari, tukaanza kushangaa kuona abiria mmoja baada ya mwingine wakishuka kwa maparuchuti kuelekea kule walikotoka.
Ubishi wa rubani umepelekea shirika la ufipa kupata hasara na kufilisika kabisa, wiki moja iliyopita abiria mmoja mzee alionekana mchoovu nae amerudi na kupelekwa hospitali kupata matibabu. Juzi ya ijumaa aliyekuwa mhudumu wa ndege nae amerudi rasmi nyumbani kujivua nyazifa zake zote na kulaumu rubani
Watendaji wakuu wa shirika la ndege la ufipa baada ya kupata taarifa kuwa kisanduku cheusi kimepatikana wamejifungia kwenye ukumbi mmoja kuja na tamko la kutaka wasimamizi wakuu wa anga waje kama wasimamizi huru bila kupendelea mashirika mengine, hivi sasa rubani mkuu na kiongozi mkuu baada ya kubadili uongozi anajitayarisha kwa safari mpya na rubani kutoka ulaya alikokwenda kutibiwa baada ya ajali .
Swali ni jee shirika litamudu baada ya kuwachwa hoi na mtikisiko?
Yetu macho ni ngumu kopo kuligeuza kuwa pipa!
Uwenyekiti upi sasa!
Demokrasia imetamalaki ruksa tu!haya sasa Sumaye kuchukua form ya kugombea uenyekiti wa CCM taifa.
Waganga ni nyie na ramli zenu wenyewe wapo kimya!Mr. Zero anautaka uwenyekiti taifa, na Membe ni Mgombea kitu URAIS CCM 2020.
Zitto ndio amerudi, tubaijuka yupo kwa kagera!Hivi yale majina ya waliopokea pesa za ESCROW yamekwisha wekwa hadharani na Gavana wa BOT au badooo. ....!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwezi kuwa wote sawa tunaburuzwa na udikteta wa mfalme mswati ufipa!Kwa akili hizi lazima uendelee kuwa masikini wakati unaowatetea wanakula mema ya nchi na familia zao
R.i.p Chacha wangwe!Usimshauri kabisa maana tutamuokota kwene viroba au risasi magazine nzima inamhusu!
Amerudi anakozielewa kanuni na taratibu za nafasi hiyo.haya sasa Sumaye kuchukua form ya kugombea uenyekiti wa CCM taifa.
Mnapobanwa ndio mnakuja hivi!R.i.p Chacha wangwe!
Ilikuwa mbwembwe za hali ya juu kwa rubani mkuu wa shirika la ndege ufipa alipoamua kujiokotea abiria na wengine hakuwajua tabia zao, Aliondoa ndege hiyo uwanja wa ufipa.
Ndege hiyo ya mabua wapo walioshauri rubani watu uliochukua wengine wana silaha wanaweza kukukaba na ni lazima wachunguzwe mienendo na tabia zao huko walikotoka. Rubani alikuwa mzito wa kupokea ushauri, mshauri mkuu akaamua kuachia ngazi,
Rubani akatangaza anabadili gia angani mlio mbaya wa mashine uliotoka kwenye hiyo ndege na moshi ni hatari, tukaanza kushangaa kuona abiria mmoja baada ya mwingine wakishuka kwa maparuchuti kuelekea kule walikotoka.
Ubishi wa rubani umepelekea shirika la ufipa kupata hasara na kufilisika kabisa, wiki moja iliyopita abiria mmoja mzee alionekana mchoovu nae amerudi na kupelekwa hospitali kupata matibabu. Juzi ya ijumaa aliyekuwa mhudumu wa ndege nae amerudi rasmi nyumbani kujivua nyazifa zake zote na kulaumu rubani
Watendaji wakuu wa shirika la ndege la ufipa baada ya kupata taarifa kuwa kisanduku cheusi kimepatikana wamejifungia kwenye ukumbi mmoja kuja na tamko la kutaka wasimamizi wakuu wa anga waje kama wasimamizi huru bila kupendelea mashirika mengine, hivi sasa rubani mkuu na kiongozi mkuu baada ya kubadili uongozi anajitayarisha kwa safari mpya na rubani kutoka ulaya alikokwenda kutibiwa baada ya ajali .
Swali ni jee shirika litamudu baada ya kuwachwa hoi na mtikisiko?
Yetu macho ni ngumu kopo kuligeuza kuwa pipa!
haya sasa Sumaye kuchukua form ya kugombea uenyekiti wa CCM taifa.
Cc:Kipara kipyaVijana wa lumumba wanasumbuliwa wa wizi wa mitihani.huyu kaandika nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujaelewa ni tatizo lako.
Katiba yetu hairuhusu mgeni kugombea nafasi ya juu mpaka miaka 5 ipite
Tunasubiri tamko koko la kamati kuu ya chadema au tayari limetoka sijaliona humu?