Gusa achia twende kwao
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 916
- 1,031
Hutaki auYaani diamond kalipwa dola laki sita kutumbuiza kwenye birthday??
mmmmmmmmh!
Hutaki auYaani diamond kalipwa dola laki sita kutumbuiza kwenye birthday??
mmmmmmmmh!
Mbwata ni nini?Ndio maana alifanya sherehe ya ajabu, kweli maskini akipata matako hulia mbwata.☺️☺️☺️
Na akasahau kua kuchamba kwingi ni kushika mavi tu!Ndio maana alifanya sherehe ya ajabu, kweli maskini akipata matako hulia mbwata.☺️☺️☺️
Hajaenda kuimba kwenye sherehe tu,hiyo ni gereshaNa kama zina mlolongo huo basi hata malipo ya Diamond yatazuiwa.
Vipi, kwa level yake hizo ni nyinyi sana au ni ndogo sana? Ndipo bargaining team yake ilipofika kimakubaliano na ndiyo standard aliyojiwekea na anayoona anastahili kwa kiwango alichonacho na demand ya soko kwenye biashara yake ya entertainment. Kumbuka Diamond ndiye msanii aliyelipwa zaidi ya wasanii wote walioalikwa kwenye hiyo sherehe akifuatiwa na Davido.Yaani diamond kalipwa dola laki sita kutumbuiza kwenye birthday??
mmmmmmmmh!
Huwa wanalipwa kabla ya show, sema labda zisije zikanzisha mlolongo mwinhine wa kodi huku kwetuNa kama zina mlolongo huo basi hata malipo ya Diamond yatazuiwa.
Kibongobongo kama ni malipo ilibidi yakatwe Withholding Tax 10% ipelekwe TRA, na kinachosalia ndio apewe msanii. Na hapo source ya income ijulikane either ni Business, Employment au Investment, na waangalie kama hana outstanding tax obligations huko nyuma anazodaiwa.Hata jamaa inaweza kuwa hivyo na jambo la kwanza wanalomchunguza ni malipo ya kina Diamond kama yalikatwa kodi. Kisha chanzo cha mapato yake na endapo pia kuna ukwepaji wa kodi
Watu wako vizuri hapo atakuwa amepewa advance kama 400 usd watu washatoa kama tigo pesa huu uzoefu bongo wanao kwa wanao kosea kutuma pesa wanaujua vizuri .........ni kufumba tu na kufumbua hata wakizuia sio zoteNa kama zina mlolongo huo basi hata malipo ya Diamond yatazuiwa.
Huku lazima zikatwe mkuu, Income Tax Act (ITA 2004) inasema kama wewe ni resident utakatwa kodi irrespective of the source (Worldwide) na kule Ghana inabidi ikatwe kwa maana source yake ni RG(Republic of Ghana).Huwa wanalipwa kabla ya show, sema labda zisije zikanzisha mlolongo mwinhine wa kodi huku kwetu
atarudishaKashalipwa
sisi blacks tuna shida mahaliHela zenye mambo mengi ndo huchezewa hivo
Akaunti inayoweza kulipwa dola laki sita huwezi kufanya michezo ya kitoto kama hiyo. Pengine kuna pesa ndefu kuliko hiyo laki sita aliyolipwa.Watu wako vizuri hapo atakuwa amepewa advance kama 400 usd watu washatoa kama tigo pesa huu uzoefu bongo wanao kwa wanao kosea kutuma pesa wanaujua vizuri .........ni kufumba tu na kufumbua hata wakizuia sio zote
Ndo mana nikasema inawezekana blacks tuna shida mahala!! Money laundering inafanywa sana huko mbele na huwa hawanasi. Kirahisi kwenye mitego ya mamlaka za kodi.Kiki zime waponza
Mkuu wazee wa kuzuia utakatishaji wa fedha wakiamua lao huna pa kukwepa. Na hasa kwa Diamond mwenye taasisi anazomiliki. Wanaweza funga account zote mpaka maelezo ya kutosha yapatikaneWatu wako vizuri hapo atakuwa amepewa advance kama 400 usd watu washatoa kama tigo pesa huu uzoefu bongo wanao kwa wanao kosea kutuma pesa wanaujua vizuri .........ni kufumba tu na kufumbua hata wakizuia sio zote
Domo ni Mzee WA kuongeza sifuri huenda kapewa Dola laki Moja yeye anasema laki6Yaani diamond kalipwa dola laki sita kutumbuiza kwenye birthday??
mmmmmmmmh!