Pre GE2025 Kisarawe kumekucha, DC. Magoti atangaza yeye sio DC wa "mpeche mpeche", watakaoleta mchezo atawang'oa visogo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa mara ya kwanza, umeongea kimantiki! Hongera sana.
 
kwa sasa Africa nzima huu ujinga umesalia Tanzania pekee almost nchi zote za Africa zisha ondoka hapa. Fuatulia utapata majibu.

Ni Bongo tu bado ndio kuna huu ujinga.
Kiongozi badala ya kutatua matatizo ya wananchi,yeye anapeleka vitisho,
Yeye afanye kazi yake kwa weledi na ndicho kitakachompa heshima yake kwenye hiyo jamii,
Vitisho ni issue ambayo imesha pitwa na wakati.
 
Wakuu, tusichukulie kila kitu personal! Binafsi nikiangalia body language yake alikuwa anatania na kufurahisha kwa kuwachombeza na amefanikiwa kuteka hadhira watu wameangua kicheko.
Mkuu,wachekeshaji siku hizi wamekua wengi sana kuliko hata wachekaji wenyewe,kila mtu ni mchekeshaji na kila mtu anatania,
Kiongozi anatoa kauli ya hatari halafu anakuja kusema kua eti alikua anatania! hii sio sawa kabisa.
 
Wakuu, tusichukulie kila kitu personal! Binafsi nikiangalia body language yake alikuwa anatania na kufurahisha kwa kuwachombeza na amefanikiwa kuteka hadhira watu wameangua kicheko.
Si kila kazi mtu yeyote anafaa..kazi nyingi physical fitness ni sifa ya kwanza, huyu mapungufu aliyo nayo kimaumbile ndiye adui yake namba moja..hata anaowahutubia feedback wanayompa ni ya kejeli, anyway tatizo si yeye, tatizo ni waliomleta hapo!
 
Waziwe akina NAPE walikuwa zaidi ya Haya. ajue Wilaya aliopo sio ya Tukuyu. usije ukasikia anazitafuta viume vyake vimeingia ndani, hata Madokta wa Marekani wanashindwa kujua nini tatizo
 
Kwa jinsi navyozidi kumsikia mimi na DC Magoti tunafanana kifikra.
 
Kiongozi badala ya kutatua matatizo ya wananchi,yeye anapeleka vitisho,
Yeye afanye kazi yake kwa weledi na ndicho kitakachompa heshima yake kwenye hiyo jamii,
Vitisho ni issue ambayo imesha pitwa na wakati.
Fuatilia from West Africa, Centra, South, East na North huu ujinga uko Tanzania pekee,
 
Eeeenh maaagootii baaaabaaa unataka uvunje watu meno tena baaaaba magotingo🤣🤣
 
nadhani anaweza kufanya tukio kubwa, pengine baya, ili wananchi waamini yeye ni DC, lakini naona wananchi tayari wanajua yeye ni DC.
Atembee uchi tu, hapo hakuna njia yeyote Bw. DC atasahaulika.
 
Watu wenye disability huwa wana matatizo ya kutojiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…