Kisarawe: Watu 8 wavunja nyumba saa nane usiku, wabaka, waiba na kujeruhi kwa mapanga

KATIBA MPYA NDIYO SULUHISHO LA HAYO YOTE.
Katiba mpya? Inaondoaje vibaka. Kinachotakiwa ni kuimarisha mifuko ya ulinzi kuanzia ngazi za jamii, kipindi cha nyuma polisi jamii ilitiliwa mkazo kukawa na ulinzi shirikishi vitendo vya uhalifu vikapungua. Wakati wa mwendazake akasimamia uwajibikaji wa viongozi kila ngazi kukawa hakuna uzembe, kwa sasa hakuna uwajibikaji wala ndo sababu haya yanarudi. Mlinda nchi ni mwananchi kwa kuwa wahalifu ni ndugu zetu, watoto nk, tusimame kwa pamoja.
 
Huko ndio kuna DC mlamba lips kazi kuuza sura mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…