Kisasi kwa vipers bado kipo palepale kwa mkapa vs yanga

Kisasi kwa vipers bado kipo palepale kwa mkapa vs yanga

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
2,024
Reaction score
1,233
Tunakumbuka vizuri sana walivyomuaibjsha yanga nje ndani sasa zamu yao tena wapigwe tu kama 4 zinatosha hao RIVERS
 
Inawezekana yupo sahihi 100%akimaanisha vipers walipowafunga yanga kwenye sherehe za mwananchi,ipo siku yanga watalipa tu kisasi.
 
Yote haya kayataka Kibu D mtu badala aandike Rivers yeye kaandika Vipers..
 
Back
Top Bottom