KISASI: Trump apendekezwa kuwa spika wa bunge la Marekani,

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Hadi sasa ramani inakoelekea ni wazi kabisa Republicans wanaweza kumpendekeza kipenzi chao Mheshimiwa Trump achukue kiti cha uspika ambacho kwa sasa kipi kwa bibie Pelosi anaesubiri kung'oka.

Trump kuwa spika inaweza kuwa ni mwiba mkali sana kwa uongozi wa Biden, Trump kuwa spika ni fursa kwake kupata uwanja wa kujipaisha kisiasa kwenda kugombea upya urais 2024 ama kuwa influential kumweka rais ataempendekeza.

Hadi sasa viongozi kadhaa wa Republicans wameapa kumu impeach Biden.
 
Trump amepoteza mvuto kwa kiasi fulani kwani wengi wa wagombea aliyowapigia debe wamepigwa chini akiwemo mgombea wao wa useneta katika jimbo muhimu la Pennsylvania.

Inaonekana uwezekano wa Republicans kutwaa udhibiti wa mabunge yote mawili hautawezekana.
 
Umefocuss na wabunge wachache waliokosa, hata hao wapinzani nao wamepigwa kanzu kwenye majimbo waliyowakilisha mda mrefu...
 
Kutoka kuwa rais hadi spika!
 
Hata hao wademocrat kuna majimbo wamepoteza yameenda Republican hapo unaelezeaje?
 
The man can run nothing. He will blow up any chance of holding the party if he is chosen a speaker. Nacy was to retire but she wont for the sake of tomenting Trump as a speaker!
 

Jamaa huyu mbona ni kaa la moto kwa wapinzani wake!?
Lkn nakumbuka mwa 2020 alisema we'll come back in another form. Nadhani ndiyo anaanza kurudi.
 
Biden anajisifu kuwa kwenye Urais wake chama hakijapoteza kama marais wengine wa chama chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…