4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
waswahili mnajuww kuchanganya mafaili., swali x jibu z , Nlitegemea kuona mtu anakanusha au kuunga mkono hoja ya jamaa kuhusu Trump na sio kuileta Democratic , USA sio bongo kwamb chama kimoja kishinde ushind wa 99% nchi nzima , Hili.tatizo lipo hadi kweny uchambuz wa vita ya Urusi na Ukraine , watu wanatoka sana OPHata hao wademocrat kuna majimbo wamepoteza yameenda Republican hapo unaelezeaje?