waswahili mnajuww kuchanganya mafaili., swali x jibu z , Nlitegemea kuona mtu anakanusha au kuunga mkono hoja ya jamaa kuhusu Trump na sio kuileta Democratic , USA sio bongo kwamb chama kimoja kishinde ushind wa 99% nchi nzima , Hili.tatizo lipo hadi kweny uchambuz wa vita ya Urusi na Ukraine , watu wanatoka sana OP