Suala la albino nilekua historia huku kwetu, kwasababu hamna hoja, mumebaki kushikilia kitu kilichokwisha muda wake, vipi ninyi mlivyouwa watu ndani ya makanisa 2007, hata Mungu hamumuugopi, huo ni unyama na ushenzi uliopitiliza, Kenya na Rwanda ni nchi pekee duniani zisizojali na kuheshimu Mungu na nyumba za ibada, kwao kuuwa watu ni muhimu zaidi ya Mungu
Ujaribu kutofautisha kati ya epidemic na endemic, Tanzania tukio kama hilo la waliouliwa huko ziwani ni epidemic kwetu, tunashangaa na mkuu wa polisi anawajibika kutoa maelezo, ila huko Kenya, hata watu wakiuliwa ishirini kwa siku bado ni endemic, mnaona ni jambo la kawaida, lipo ndani ya acceptable standards, kila siku unasikia mke au mume kamuua mpenzi wake, mara school shootings, mara yule mwalimu toka Australia amepigwa risasi barabarani, mara shule zimechomwa moto wanafunzi wameuliwa na mwanafinzi mwenzao, mara walinzi wa kanisa wameuliwa huko Mombasa na silaha zao kuchukuliwa, msikilize huyu bint anavyolalamika kwamba nusu ya Kenya huko kaskazini ni mauaji tu yanayoendelea
Bably Sherman