Kisayansi ubongo wa Mwanaume Vs Mwanamke

Kisayansi ubongo wa Mwanaume Vs Mwanamke

Ni sahihi.Ubongo wa Mwanamke una uwezo wa kufanya kazi nyingi effectively and efficiently kuliko wa mwanaume.
 
Fact ni kuwa vilio vyote unavyo viona duniani kisababisho ni mwanamke hayo unayokuja nayo wewe ni namna fulani ya kupotosha kile kilicho maanishwa katika huu utunzi.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Umewahi kusikiliza lyrics mkuu? Kubali kuelimishwa pale ambapo hujui Mkuu, utafika mbali kimaisha. Rigidity haisaidii!
 
Umewahi kusikiliza lyrics mkuu? Kubali kuelimishwa pale ambapo hujui Mkuu, utafika mbali kimaisha. Rigidity haisaidii!
Huenda nimeuhusisha wimbo na jambo lingine ambalo halina mahusiano nalo. Hivyo haina budi nikubali kuwa sikupaswa kuuhusisha huu wimbo na mjadala/post.
Nitakuwa binafsi niliubeba katika tafsiri ya kimakosa.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Huenda nimeuhusisha wimbo na jambo lingine ambalo halina mahusiano nalo. Hivyo haina budi nikubali kuwa sikupaswa kuuhusisha huu wimbo na mjadala/post.
Nitakuwa binafsi niliubeba katika tafsiri ya kimakosa.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app

Barikiwa sana.
 
Nafikiri kutokana biological facts nyingi zinazotofautisha Kati ya mwanamke na mwanaume inapelekea hata mindset zao kutofautiana kwa kiasi flani....
ndo maana katika swala la maamuzi kwa uzoefu kuna upande unatawaliwa zaidi na hisia.
 
Maamuzi ya mwanamke hutegemea hisia zaidi kuliko mwanaume na mwanaume hutumia reasoning zaidi; ila yote ni muhimu ndio maana kwenye familia kuna baba na mama ilikuleta usawa wa malezi.

Mwanamke anauwezo mzuri wakuifadhi kumbukumbu na mwanaume anauwezo zaidi wakuchanganua jambo kwa haraka zaidi kama vile hesabu.

ILA YOTE HUTEGEMEA MAZINGIRA YA UKUAJI NA MALEZI WA KILA MMOJA WETU, Hivyo ni advantage kwa mwenye maarifa. Kuhusu uongozi ni kushirikiana sio jambo la mmoja mmoja ni teamwork.

Na kwa mujibu wa dini tunajua kama hujui uJifunze juu ya Mungu wako ansemaje kwenye mgawanyo wa majukumu kwa viumbe wake akizingatia jinsia.
 
Back
Top Bottom