Hapo sana bandua mpendazoe bandika mbwa! huyo bwana atakuwa maeanza kampeni. NEC wako wapi? au ndo wamekaa ofisini kusubiri CCJ wanafanya nini?
USIKUBALI KUNUNUA BIDHAA AU HUDUMA ZA FISADI[QUOTE]
Tumebandika mbwa majimbo kibao....mmechelewa kushangaa ya kishapu!
Mbona hii ni kama haiwezekani?
kwa hiyo "bandua Mpendazoe, bandika mbwa"!
Tatizo lao wakipewa Chimpumu wanawapa kura!kanda ya ziwa, saidieni hao wapiga kura.
Katika hali inayoonesha siasab za kuchekesha, baadhi ya wananchi katika mji mdogo wa Maganzo waliamua kumvisha Tshirt mbwa wakati wa maandamano ya kumlaani Mpendazoe kuhama CCM. Tshirt hizo zilizogawiwa kwa waandamanaji zikiwa na picha ya Mnec Sulemani Nchambi zilikuwa na maandishi Bandua Mpendazoe Bandika Nchambi, hali ambayo inatafsirika kuwa Mnec huyo ameanza kampeni za ubunge kabla ya muda.