PreGE2025 Kisheria Chadema wamezuiwa kushiriki kampeni sio uchaguzi

PreGE2025 Kisheria Chadema wamezuiwa kushiriki kampeni sio uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu

Kumbe kisheria CHADEMA hawajazuiwa kushiriki uchaguzi

Hakuna Sheria ya kuwazuia CHADEMA kushiriki Uchaguzi kisa kuto saini Kanuni za Maadili. Kisheria CHADEMA wamezuiwa kushiriki kampeni sio Uchaguzi.

Ikumbukwe Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika Oktoba, 2025 zilisainiwa Aprili 12 na vyama vya siasa 18 huku CHADEMA ikisusia.

 
Sasa kama reforms zisipofanyika na kupelekea uchaguzi kuyeyuka,

Hapo CHADEMA amezuiwaje?
 
Sitafanya ujinga kwenda kuwachagua wajinga wanaohubiri amani na wanachukia Haki hadharani
 
Back
Top Bottom