Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Nikiwa kama Mwanasheria Nguli, Semaji hana Kosa utopolo wamekurupuka kama wanavyokurupukaga kwenye kesi zingine walizoishia kushindwa kwa aibu kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Young afrikan ni Utopolo AfrikanHata wewe ,hakuna yanga African sc ila ni young afrikan
Nani mjamzito tena??Ongeza na hii,kusema mchezaji anamaliza mkataba sio kosa.
Kusema anachomwa sindano sio kosa
KUsema mchezaji ni mjamzito hilo linaweza kuwa kosa la udhalilishaji kwa mchezaji faini milioni 200
Wachezaji wa yanga wanachomwa sindano za kuzuia mimbaNani mjamzito tena??
Tupe maana ya neno Sanda pia,,Sanda ni nini na linatumika wapi,,ukimaliza hapo pia utueleze kesi ya Aly kamwe ni ipi!Legal Profession ni moja ya taaluma tamu sana ukiielewa, Yanga imewasilisha demand letter kwa semaji letu wakidai bilioni 10 eti kwa madai alipokuwa kijiweni alimtaja Pacome anamaliza mkataba lakini Yanga ni wachawi.
Guys, msiwe mnakurupuka na kujadili mambo msiyoyajua, take trouble kuomba hata ushauri wa elimu kidogo kutoka wanasheria, kisheria hakuna mchezaji duniani anaeitwa Pacome, Pacome wako wengi duniani, kuna Pacome Zidane, Pacome Shilole, Pacome Zuchu, Pacome Kopa, Pacome Diamond na Pacome Zouazoua ambaye ni ni mchezaji wa YAnga.
Ahmed alipokuwa akitaja majina alikuwa very technical, alimtaja jina moja TU akijua madhara ya kutaja majina mawili, angetaja PAcome Zouazoua hapo angeingia matatani.Ni sawa sawa na wewe uwe na kitambulisho cha jina chenye jina la Pacome Zuzu halafu cheti chako cha form kina kina jina la Pacome Zuzu, hayo ni majina mawili tofauti.
Ahmed kisheria ataiambia mahakama kuwa hakumtaja Pacome Zouazu ila alikusudia Pacome Mzaramo and his evidence is quite admissible.
Jambo la pili duniani hakuna timu ama klabu inaitwa Yanga, nendeni kwa msajili wa vyama vya michezo mkaangalie vizuri, Ahmed kama alimtaja Yanga basi alikuwa sahihi, hakuna klabu duniani inaitwa Yanga, kuweni waelewa, Ahmed was very technical, IPO klabu duniani inaitwa Yanga African sports club.Kwahiyo YAnga na Yanga African Sports Club ya Injinia Hersi ni vitu viwili tofauti.
The court must prove beyond any reasonable doubt kwamba Ahmed aliiharibu Brand ya Yanga kama anavyoiita Ahmed wanatakiwa wathibitishe kama Ahmed aliikusudia klabu Yao.Ningeweza hapa kuweka Precedents kuonyesha kuwa walioipeleka demand notice kwa Ahmed ni matapeli TU wa kisheria wenye lengo la kumtisha semaji na kuwapa hope watu wa YAnga lakini kisheria ni rubbish
Kwahiyo ni uchafu uchafu uchafu uchafu, doggo Kamwe ndio ameyakanyaga.Enjoy
Kaa ukijua standard of proof ya civil liability ni on the balance of probabiliy siyo beyond reasonable doubt kama criminal kwahiyo kaa kwa kutuliaLegal Profession ni moja ya taaluma tamu sana ukiielewa, Yanga imewasilisha demand letter kwa semaji letu wakidai bilioni 10 eti kwa madai alipokuwa kijiweni alimtaja Pacome anamaliza mkataba lakini Yanga ni wachawi.
Guys, msiwe mnakurupuka na kujadili mambo msiyoyajua, take trouble kuomba hata ushauri wa elimu kidogo kutoka wanasheria, kisheria hakuna mchezaji duniani anaeitwa Pacome, Pacome wako wengi duniani, kuna Pacome Zidane, Pacome Shilole, Pacome Zuchu, Pacome Kopa, Pacome Diamond na Pacome Zouazoua ambaye ni ni mchezaji wa YAnga.
Ahmed alipokuwa akitaja majina alikuwa very technical, alimtaja jina moja TU akijua madhara ya kutaja majina mawili, angetaja PAcome Zouazoua hapo angeingia matatani.Ni sawa sawa na wewe uwe na kitambulisho cha jina chenye jina la Pacome Zuzu halafu cheti chako cha form kina kina jina la Pacome Zuzu, hayo ni majina mawili tofauti.
Ahmed kisheria ataiambia mahakama kuwa hakumtaja Pacome Zouazu ila alikusudia Pacome Mzaramo and his evidence is quite admissible.
Jambo la pili duniani hakuna timu ama klabu inaitwa Yanga, nendeni kwa msajili wa vyama vya michezo mkaangalie vizuri, Ahmed kama alimtaja Yanga basi alikuwa sahihi, hakuna klabu duniani inaitwa Yanga, kuweni waelewa, Ahmed was very technical, IPO klabu duniani inaitwa Yanga African sports club.Kwahiyo YAnga na Yanga African Sports Club ya Injinia Hersi ni vitu viwili tofauti.
The court must prove beyond any reasonable doubt kwamba Ahmed aliiharibu Brand ya Yanga kama anavyoiita Ahmed wanatakiwa wathibitishe kama Ahmed aliikusudia klabu Yao.Ningeweza hapa kuweka Precedents kuonyesha kuwa walioipeleka demand notice kwa Ahmed ni matapeli TU wa kisheria wenye lengo la kumtisha semaji na kuwapa hope watu wa YAnga lakini kisheria ni rubbish
Kwahiyo ni uchafu uchafu uchafu uchafu, doggo Kamwe ndio ameyakanyaga.Enjoy
Hivi kumbe na wewe hujui kuna akina Pacome 30 hapa bongo?Zumbukuku mmoja ktk one and two. Yani umeandika kana kwamba unajua sana kumbe mweupe yaani peeeee! Maelezo yako yanajigonga sana. Labda uedit. "Ahmed ally hakumtaja pacome zouzoua mchezaji wa yanga" kisha "hakuna klabu ya yanga duniani" yaani unatetea hoja yako kisha unajichanganya. Rudi shule hiyo elimu yako ya UPE/MEMKWA haijakusaidia kitu
Hivi kumbe na wewe hujui kuna akina Pacome 30 hapa bongo?
Hujui pia kuna kuku wanaitwa Yanga?
Heheheee washitaki ni Dar Young Africans....
Semaji limewapiga chenga mkajaa, lilitaja Yanga (not Dar Young Africans)..
Likataja pia pacome (not pacome Zouzoua)...
Huyo mwanasheria wenu akienda mahakamani basi itakuwa alighushi vyeti ila sio mwanasheria.
Kati ya mtoa mada na wewe, aliye na elimu ya UPE ni wewe mwenyewe
Umepiga kwenye mshono,Mimi najua sanda ni nguo anayevalishwa mtu aliyekufa.
Umesema hakuna mchezaji anaitwa Pacome halafu unakuja kutaja list ya wachezaji wanaoitwa Pacome. Hivi una akili kweli wewe?Guys, msiwe mnakurupuka na kujadili mambo msiyoyajua, take trouble kuomba hata ushauri wa elimu kidogo kutoka wanasheria, kisheria hakuna mchezaji duniani anaeitwa Pacome, Pacome wako wengi duniani, kuna Pacome Zidane, Pacome Shilole, Pacome Zuchu, Pacome Kopa, Pacome Diamond na Pacome Zouazoua ambaye ni ni mchezaji wa YAnga.
Kbsaa mm ndo nilikuwa nahoji, wao club Yao ni Yanga au Young Africans!?.Wala hatuna hofu kabisa...kama mwanasheria wao bado ni yule yule......
By the way hakuna kesi hapo..
Kuna club inaitwa "Young Africans Sports club"
Kuandika haiipi uhalali wa kuwa ndo jina Hilo, jina linaangaliwa katika usajili. Mlisajili Yanga au Young!?.Umesema hakuna mchezaji anaitwa Pacome halafu unakuja kutaja list ya wachezaji wanaoitwa Pacome. Hivi una akili kweli wewe?
Hapo lazima Ahmed Ally atatakiwa aseme maelezo yake yalikuwa yanamlenga mchezaji Pacome yupi. Mbona ishu ni ndogo tu hapo? Akisema Pacome Mbonde ataulizwa anachezea timu gani huyo Pacome mbonde, raia wa nchi gani, n.k.
Kuhusu Yanga ni mara ngapi Azam tv huandika Yanga kwenye mechi? Angalia hapo Azam tv wameiandikaje?
Ndio atataja mchezaji pacome ni Pacome ubini upi na anachezea timu ganiKuandika haiipi uhalali wa kuwa ndo jina Hilo, jina linaangaliwa katika usajili. Mlisajili Yanga au Young!?.
Mmesajili Young Africans hata kwenye page zenu hakuna neno Yanga Kuna young
Eehh hakuna shida ila hakuna club inaitwa Yanga hapa TZNdio atataja mchezaji pacome ni Pacome ubini upi na anachezea timu gani