Kisheria hakuna mchezaji duniani anayeitwa Pacome wala klabu ya mpira wa miguu inayoitwa Yanga, msiingie taharuki mashabiki wa Simba

Nikiwa kama Mwanasheria Nguli, Semaji hana Kosa utopolo wamekurupuka kama wanavyokurupukaga kwenye kesi zingine walizoishia kushindwa kwa aibu kubwa
 
Mwanasheria wa Utopolo alimdanganya Mkude amshitaki Mo

Akaenda akakusanya Mawakili uchwara wenzie mahakamani wakawa wanatetemeka tu washindwa kesi
 
Mi naona ni mchezo wa trick kwa kufanya neutralizing and balancing unafanyika. Kumbuka siku kadhaa semaji wa upande ule naye aliombwa hela kwa defamation na sanda
 
Tupe maana ya neno Sanda pia,,Sanda ni nini na linatumika wapi,,ukimaliza hapo pia utueleze kesi ya Aly kamwe ni ipi!
 
Kaa ukijua standard of proof ya civil liability ni on the balance of probabiliy siyo beyond reasonable doubt kama criminal kwahiyo kaa kwa kutulia
 
Hivi kumbe na wewe hujui kuna akina Pacome 30 hapa bongo?

Hujui pia kuna kuku wanaitwa Yanga?

Heheheee washitaki ni Dar Young Africans....

Semaji limewapiga chenga mkajaa, lilitaja Yanga (not Dar Young Africans)..

Likataja pia pacome (not pacome Zouzoua)...

Huyo mwanasheria wenu akienda mahakamani basi itakuwa alighushi vyeti ila sio mwanasheria.

Kati ya mtoa mada na wewe, aliye na elimu ya UPE ni wewe mwenyewe 🐸wahed.
 
Mi nikiambiwa neno Yanga najua ni ule unga wa Yanga tuliotumia kupikia ugali pale zamani nilipokuwa mzee.
Ulikuwa una rangi ya manjano.
Ninavyojua hapa nchini hakuna kampuni yoyote au taasisi inaitwa Yanga.
Ila nakumbuka Kuna mfanyabiashara mmoja alitaka kuanzisha timu na kuipa jina la "Yanga Yangu" ila hakutimiza malengo yake.
 
 
Umesema hakuna mchezaji anaitwa Pacome halafu unakuja kutaja list ya wachezaji wanaoitwa Pacome. Hivi una akili kweli wewe?
Hapo lazima Ahmed Ally atatakiwa aseme maelezo yake yalikuwa yanamlenga mchezaji Pacome yupi. Mbona ishu ni ndogo tu hapo? Akisema Pacome Mbonde ataulizwa anachezea timu gani huyo Pacome mbonde, raia wa nchi gani, n.k.

Kuhusu Yanga ni mara ngapi Azam tv huandika Yanga kwenye mechi? Angalia hapo Azam tv wameiandikaje?
 

Attachments

  • IMG_20241203_141042.jpg
    366.9 KB · Views: 3
Yan jamaa unawajaza ujinga wenzako vibaya mno. Unachosema kina weza kuwa utetezi ila hauna mantiki yoyote. Nenda tena kasome sheria hizo unazozijua na upate experience.
 
Wala hatuna hofu kabisa...kama mwanasheria wao bado ni yule yule......
By the way hakuna kesi hapo..
Kuna club inaitwa "Young Africans Sports club"
Kbsaa mm ndo nilikuwa nahoji, wao club Yao ni Yanga au Young Africans!?.
Wanajiita Yanga lakn makaratasi ni Young Africans.
 
Kuandika haiipi uhalali wa kuwa ndo jina Hilo, jina linaangaliwa katika usajili. Mlisajili Yanga au Young!?.
Mmesajili Young Africans hata kwenye page zenu hakuna neno Yanga Kuna young
 
Kuandika haiipi uhalali wa kuwa ndo jina Hilo, jina linaangaliwa katika usajili. Mlisajili Yanga au Young!?.
Mmesajili Young Africans hata kwenye page zenu hakuna neno Yanga Kuna young
Ndio atataja mchezaji pacome ni Pacome ubini upi na anachezea timu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…