Itabidi atafute mashahidi wengine wanaokubali kuwa mashahidi wakeWanasheria naomba elimu kidogo
Lissu amewataja ndugu Samia, Philip Mpango, Cassim Majaliwa na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wawe mashahidi wa kesi yake ya uhaini
Najiuliza hawa watu wataheshimu mahakama na kufika kutoa ushahidi?
Bila shaka watakaidi na mahakama yetu haina cha kuwafanya
hii nchi ina siri gani za maanaUshaambiwa hawalazimishwi kwenda, ni ama waende au wasiende, isije wakatoa siri za nchi
Hili ni Funzo lingine watanzania umuhimu wa kuwa na Katiba mpyaWanasheria naomba elimu kidogo
Lissu amewataja ndugu Samia, Philip Mpango, Cassim Majaliwa na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wawe mashahidi wa kesi yake ya uhaini
Najiuliza hawa watu wataheshimu mahakama na kufika kutoa ushahidi?
Bila shaka watakaidi na mahakama yetu haina cha kuwafanya
hizo hizo ulizoambiwa wakiitwa mahakamani wanaweza kuzitoa na kuleta taharukihii nchi ina siri gani za maana
Hili hapa ni jibu sahihi kabisaBila shaka watakaidi na mahakama yetu haina cha kuwafanya