Shukran. Na je ufunguaji wa 'bank account' je? Kama utakuwa na 'idea'.Hakuna hiyo sheria isipokuwa usilete uchochezi humo na kumwaga mitusi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bank account ya kundi la whatsapp au kundi la vikoba?Shukran. Na je ufunguaji wa 'bank account' je? Kama utakuwa na 'idea'.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hmmm! Hilo kundi la whatsapp lina watu wa aina gani?
Nimefika kuwaona na bahati nzuri wamenipa muongozo.0808110088 -
Nmb toll free
+255(22)2197700
+255(0)714197700
+255(0)755197700
+255(0)789197700 - CRDB
Ukikosa majibu hapo basi njoo uulize tena
"Ruzige"