Kisheria kuanzisha 'Whatsapp group' ikoje?

Kisheria kuanzisha 'Whatsapp group' ikoje?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Wakuu, natambua moja ya mawasiliano ni hii mitandao ya kijamii ambayo imetengenezwa kuwasiliana mtu zaidi ya mmoja tena kwa muda huo huo.

'Whatsapp' ni mojawapo ya mitandao hiyo, ninachowaomba hapa nchini kisheria unapoanzisha kundi (group) lake imekaaje? Mfano:
1. Usajili
2. Ufunguaji wa 'bank account' ya kundi nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0808110088 -
Nmb toll free

+255(22)2197700
+255(0)714197700
+255(0)755197700
+255(0)789197700 - CRDB

Ukikosa majibu hapo basi njoo uulize tena

"Ruzige"
 
Back
Top Bottom