Atlantis Voyager
JF-Expert Member
- Jan 19, 2018
- 371
- 502
Nimenunua gari lakini mpaka linafika redio ilikuwa nzima na ghafla imeharibika. Ninahitaji kujua toka kwa wataalamu wa sheria nikiwa kama nimelilipia insurance comprehensive nahitaji Kampuni ya Bima inilipe maana wanachukua premium na mkataba wao na wangu unaishia wapi???