Kisheria mtoto anatakiwa afikishe umri gani ndipo achukuliwe na baba yake?

Kisheria mtoto anatakiwa afikishe umri gani ndipo achukuliwe na baba yake?

Kisheria baada ya miaka 7 Tu kidume unaruhusiwa kubeba mtoto wako.

Mama anaweza kutoa Huduma kama ataweza.
 
Kisheria baada ya miaka 7 Tu kidume unaruhusiwa kubeba mtoto wako.

Mama anaweza kutoa Huduma kama ataweza.
Kama awezi atoi si ndio .mbona Mimi siwezi Ila napelekwa mperampera adi kwa makonda
 
Miaka saba anaruhusiwa kwenda kwa baba yake.......anaebisha abishe
 
Pia nikisha mchukuwa mama wa mtoto atatoa pesa kwajili ya mahitaji na huduma kwa mtoto kama hataki naweza kumpeleka ustawi wa jamii ???
number of factors are considered before the custody is granted

mfano

1.tamaduni za sehemu husika

2.umri wa Mtoto

3.Mtoto anataka kukaa na nani

4.nani yupo kwenye nafasi nzuri ya kumlea Mtoto

sheria ya ndoa pia imeeleza ni vizuri Mtoto chini ya miaka saba akae na mama

ni jukumu la Baba kupeleka/kutoa matunzo kwa mtoto
 
Unaweza kumchukua mtoto kutoka kwa mama yake hata kama haja fikisha miaka 7, ikiwa utaidhibitishia mahakama kuwa matendo au tabia ya mama yake hastaili Ku endelea kubaki na mtoto.
mfano
Mama awe mlevi sana
Ana jiuza na kuchelewa kurudi nyumbani
Ana tatizo la akili
Na mambo kama hayo.
 
Je kama mwanamme haukoo tayari kutoaa matumizi yaan kumpa mama yake mtt pesaa.
Huwez ukamchukua mtt akiwa na miaka 4 kwa kigezoo kuwa hiwez kumhudumia akiwa na mamake mpk tu mtt akar kwako...???
 
Unaweza kumchukua mtoto kutoka kwa mama yake hata kama haja fikisha miaka 7, ikiwa utaidhibitishia mahakama kuwa matendo au tabia ya mama yake hastaili Ku endelea kubaki na mtoto.
mfano
Mama awe mlevi sana
Ana jiuza na kuchelewa kurudi nyumbani
Ana tatizo la akili
Na mambo kama hayo.
Mkuu habari,
na kama mama wa mtoto hamjali mtoto vizuri pale anapoumwa,mahakama inaweza kuamua mtoto aishi na baba?
 
Mkuu habari,
na kama mama wa mtoto hamjali mtoto vizuri pale anapoumwa,mahakama inaweza kuamua mtoto aishi na baba?
Mbona unamchukia hivyo mwanamke anayeujua uchi wako?!?! Usikute kipindi cha mahaba Niue alikua anakunyonya mpaka gario!!!!

Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
 
Hakuna Limit isipokuwa tu kila mmoja adhibitishe anaouwezo wa kumlea mtoto katika malezi mema. Mmojwapo akishindwa aweza kunyanganywa mtoto.
 
Back
Top Bottom