Kisheria mtoto anatakiwa afikishe umri gani ndipo achukuliwe na baba yake?

Kisheria mtoto anatakiwa afikishe umri gani ndipo achukuliwe na baba yake?

Mbona unamchukia hivyo mwanamke anayeujua uchi wako?!?! Usikute kipindi cha mahaba Niue alikua anakunyonya mpaka gario!!!!

Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
Unanifahamu?unamfahamu mzazi mwenzangu?Unamfahamu mtoto wangu na jinsi anavyolelewa?Unafahamu kilichopelekea mimi kuuliza hilo swali?

Jifunze kutokuwa mropokaji.
 
Unanifahamu?unamfahamu mzazi mwenzangu?Unamfahamu mtoto wangu na jinsi anavyolelewa?Unafahamu kilichopelekea mimi kuuliza hilo swali?

Jifunze kutokuwa mropokaji.
Hivi hayo maswali umeuliza ujibiwe au ndo unapunguza stress kwa mtindo huu!?!

Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
 
kwenu wana sheria, na wengi

Ikiwa mmetalikiana na mkeo, na watoto wako chini ya miaka saba na wako kwa mama yao. je wakifikisha hiyo miaka saba (7), njia ya kuchua watoto unakwenda Mahakamani tena au Ustawi wa Jamii?
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽Huu ujinga umepitwa na wakati. Kuna kila sababu ya kubadili sheria. Mtoto ni wa wazazi wote.

Achukuliwe kwenda wapi wakati jukumu la kulea mtoto ni la wazazi
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽Huu ujinga umepitwa na wakati. Kuna kila sababu ya kubadili sheria. Mtoto ni wa wazazi wote.

Kwa hiyo agawanywe kati iwapo wameachana?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mtoto atagawanywa kivipi!? 😳 Kwenye nchi za wenzetu kunakuwa na makubaliano ya kisheria kati ya wazazi na wanasheria wao jinsi ya kuishi na mtoto wao. Makubaliano hayo ni lazima yaheshimiwe na pande zote mbili au faini kubwa hutolewa na hata kifungo pia.

Kwa hiyo agawanywe kati iwapo wameachana?
 
Anaweza kuwa anakuja kumuogesha hapo kwangu halafu anasepa zake
 
Hii sheria imekaa vizuri,inamapungufu kidogo,mfano,kama mwanamke ana watoto wengine kwa mwanaume mwingine,nani anathibitisha kwamba matumizi ya hizo hela zinawafikia walengwa kwa malengo yaliyokusudiwa?
 
Back
Top Bottom