Unanifahamu?unamfahamu mzazi mwenzangu?Unamfahamu mtoto wangu na jinsi anavyolelewa?Unafahamu kilichopelekea mimi kuuliza hilo swali?Mbona unamchukia hivyo mwanamke anayeujua uchi wako?!?! Usikute kipindi cha mahaba Niue alikua anakunyonya mpaka gario!!!!
Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
Nashukuru.Kama maelezo yako yataishawishi mahakama itawezekana
Hivi hayo maswali umeuliza ujibiwe au ndo unapunguza stress kwa mtindo huu!?!Unanifahamu?unamfahamu mzazi mwenzangu?Unamfahamu mtoto wangu na jinsi anavyolelewa?Unafahamu kilichopelekea mimi kuuliza hilo swali?
Jifunze kutokuwa mropokaji.
Achukuliwe kwenda wapi wakati jukumu la kulea mtoto ni la wazazi
ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½Huu ujinga umepitwa na wakati. Kuna kila sababu ya kubadili sheria. Mtoto ni wa wazazi wote.
Kwa hiyo agawanywe kati iwapo wameachana?