Kisheria ni sawa Ofisi ya ustawi wa jamii kusikiliza 'rufaa'??

Kisheria ni sawa Ofisi ya ustawi wa jamii kusikiliza 'rufaa'??

tanga kwetu

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Posts
2,193
Reaction score
1,437
mdai (baba) ameshinda mahakama ya mwanzo ya kuishi na mtoto (wa miaka 7), mdaiwa ameenda ofisi za ustawi wa jamii ('kukata rufaa') kwamba haridhiki na uamuzi huo na anataka apewe haki ya kuishi na mtoto. Hata mimi kama jirani yao niliridhika na mwenendo wa kesi ya awali yaani hoja za mdai (baba) juu ya child custody. Afisa Ustawi wa Jamii amemuita shaurini wiki ijayo mshindi wa shauri la awali. Je, kisheria hii ni sawa ofisi hii kusikiliza 'rufaa'? Mdaiwa afanyaje ili apinge hukumu ya awali? asanteni.
 
Back
Top Bottom