MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Wanapenda kuja kujificha huku Jukwaa la Kenya..kule Jukwaa la Siasa hawaji hawa team sifia-sifia.Tangu ndege ikamatwe jamaa kaanzisha nyuzi kwa fujo, mara UDOM ndio best Africa, mara kishindo cha awamu ya tano....tatizo ni kwamba mkulima ameshikilia ndege na haachi hadi alipwe. Kule jukwa la siasa naona Watanzania wamewaka moto wanataka ndege yao, sasa sihani kama MaCCM hutumia akili wakati wanafikiria hizi hizi nyuzi zitapunguza kishindo.
Hio bandari yenu iko na gantry crane chache sana, inakaa kama marchant port zile enzi za waarabu wakitumia wooden ships
Ni maumivu ya kutosha ukiona namna the regional giant roaring across the continental battlefield
Nasikia Lamu 3 little berths imetunukiwa heshima ya kuwa the largest port in Africa ππππ
Ni maumivu ya kutosha ukiona namna the regional giant roaring across the continental battlefield
Nasikia Lamu 3 little berths imetunukiwa heshima ya kuwa the largest port in Africa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Show me the other part so we can see the whole picture cause what I saw in that video was not anything that would make me scared for MombasaThat's just a certain piece of the whole thing.