MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Wanapenda kuja kujificha huku Jukwaa la Kenya..kule Jukwaa la Siasa hawaji hawa team sifia-sifia.Tangu ndege ikamatwe jamaa kaanzisha nyuzi kwa fujo, mara UDOM ndio best Africa, mara kishindo cha awamu ya tano....tatizo ni kwamba mkulima ameshikilia ndege na haachi hadi alipwe. Kule jukwa la siasa naona Watanzania wamewaka moto wanataka ndege yao, sasa sihani kama MaCCM hutumia akili wakati wanafikiria hizi hizi nyuzi zitapunguza kishindo.