mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Yesu wa nyokoYESU ANARUDI. HIZO VITA NI WAKE-UP CALL. MRUDIE MUNGU. MWAMINI YESU
Nafikiri ni kwasababu hana roho mbaya alafu anatambua wao ni ndugu ila wamekengeuka kwasababu ya kusikiliza majirani wenye nia mbayaMimi ni achoshindwa kuelewa Kwa Nini mzalendo wa Dunia putini anashindwa kuzitumia hizo silaha za ICBM Kila siku ili kupata ushindi mapema kabisa?Maana katumia maramoja tu na imeleta kuliko ulaya nzima.
Nia yake ni kuuwa paper Us D.anawalazimisha west kuwa na trade deficit.Mimi ni achoshindwa kuelewa Kwa Nini mzalendo wa Dunia putini anashindwa kuzitumia hizo silaha za ICBM Kila siku ili kupata ushindi mapema kabisa?Maana katumia maramoja tu na imeleta kuliko ulaya nzima.
Atapata majibu yake soonKaeni hivyo hivyo Jana Ukraine kalipua mifumo ya ulinzi ya Rusia ndani ya Kursk
Naomba picha za madharaWaliiruhusu ukraine kutumia makombora yao kuipiga urusi ndani kabisa kwa mbwebwe, lakini baada ya kishindo cha hypersonic missile, wameizuia kimya kimya ukraine isiyatumie!! Dunia itaona matokeo tu kuwa ukraine haiyatumii tena makombora hayo kupiga ndani ya urusi!! Hatimaye walichokuwa wanakitafuta wamekiona!! Hakuna aliyejua urusi ilitumia silaha gani hadi urusi yenyewe ilipowategulia kitendawili!! Hicho kiwanda cha silaha kilichoshambuliwa kilikuwa kinalin dwa na Patriot air defense za marekani lakini hazikuona ndani!! Zelensky alishtuka sana!!
Hizo ni ndoto, matamanio, ramli au ni hadithi umesimliwa? JF inataka ulete habasi, siyo udaku.Ingawa kwa hadharani NATO bado wanajimwambafai lakini kiuhalisia wamenywea sana!!
Tangu hypersonic missile ya Urusi isambaratishe kiwanda cha kijeshi cha kutengenezea makombora/missiles, hautaisikia tena Ukraine ikiishambulia Urusi kwa kutumia makombora ya masafa marefu waliyoruhusiwa na marekani, uku na ufaransa wayatumie dhidi ya urusi!!
Waliruhusu hadharani lakini wamezuia kimya kimya kwa aibu!! Chezea Putin weye!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Waliiruhusu ukraine kutumia makombora yao kuipiga urusi ndani kabisa kwa mbwebwe, lakini baada ya kishindo cha hypersonic missile, wameizuia kimya kimya ukraine isiyatumie!! Dunia itaona matokeo tu kuwa ukraine haiyatumii tena makombora hayo kupiga ndani ya urusi!! Hatimaye walichokuwa wanakitafuta wamekiona!! Hakuna aliyejua urusi ilitumia silaha gani hadi urusi yenyewe ilipowategulia kitendawili!! Hicho kiwanda cha silaha kilichoshambuliwa kilikuwa kinalin dwa na Patriot air defense za marekani lakini hazikuona ndani!! Zelensky alishtuka sana!!
Toa ujinga wako hapaYESU ANARUDI. HIZO VITA NI WAKE-UP CALL. MRUDIE MUNGU. MWAMINI YESU
🤣🤣🤣🤣 Wamedhalilishwa SanaSoko la silaha za USA linakwenda kushuka,maana Ulaya yote(NATO)waliaminishwa kulindwa na mifumo ya ulinzi na inapigika kweli kweli hadi ile ya Israel,baada ya vita wenye akili watanunua sana silaha za Urusi
🤣🤣🤣Ngoja waje wale wamarekani weusi wa Mwembetogwa tuone wao wana maoni gani?
Unateseka ukiwa wapi 🤣🤣🤣Kaeni hivyo hivyo Jana Ukraine kalipua mifumo ya ulinzi ya Rusia ndani ya Kursk