Kishindo cha Hypersonic Missile za Urusi: Ndani ya pazia NATO wameiogopa sana Urusi: Matokeo yake ukraine imenywea!

Kishindo cha Hypersonic Missile za Urusi: Ndani ya pazia NATO wameiogopa sana Urusi: Matokeo yake ukraine imenywea!

Mimi ni achoshindwa kuelewa Kwa Nini mzalendo wa Dunia putini anashindwa kuzitumia hizo silaha za ICBM Kila siku ili kupata ushindi mapema kabisa?Maana katumia maramoja tu na imeleta kuliko ulaya nzima.
Gharama kubwa sana.
 
Ingawa kwa hadharani NATO bado wanajimwambafai lakini kiuhalisia wamenywea sana!!

Tangu hypersonic missile ya Urusi isambaratishe kiwanda cha kijeshi cha kutengenezea makombora/missiles, hautaisikia tena Ukraine ikiishambulia Urusi kwa kutumia makombora ya masafa marefu waliyoruhusiwa na marekani, uku na ufaransa wayatumie dhidi ya urusi!!

Waliruhusu hadharani lakini wamezuia kimya kimya kwa aibu!! Chezea Putin weye!!

Walimbeep Mrusi, yeye kaamua kuwapigia kabisa simu kwa kutumia WhatsApp video call.
 
Mimi ni achoshindwa kuelewa Kwa Nini mzalendo wa Dunia putini anashindwa kuzitumia hizo silaha za ICBM Kila siku ili kupata ushindi mapema kabisa?Maana katumia maramoja tu na imeleta kuliko ulaya nzima.
Izo silaha ni hatari Kwa viumbe hai
 
ukr
Ataviwezaje wakati siraha zake zote kali zikiwemo nyuklia aliwakabidhi Warusi. Matokeo yake Mrusi kamsaliti Ukrein
Ukraine hajawahi kumiliki nyuklia hata moja, kilichotokea zile ni nyuklia za Russia zilikuwa sikihifadhiwa huki Ulraine ambapo lilikuwa ni jeshi la kijana na huko Urusi ni jeshi jekundu hi yo Ukraine karudisha silaha za watu acha kukariri tu.
 
Mafanikio ya Russia kwenye uwanja wa vita wala hayataki picha Jina la kamanda alofukuzwa tafadhali
Colonel General GENNADY ANASHKIN, the commander of the South Forces Group.
 
Kaeni hivyo hivyo Jana Ukraine kalipua mifumo ya ulinzi ya Rusia ndani ya Kursk
Nilikuwa natafuta comment hii kwa mtu anayejua mambo kama mimi. Russia wanapondwa vzr tu sijui huyu jamaa yuko dunia ya ngapi..
 
Nilikuwa natafuta comment hii kwa mtu anayejua mambo kama mimi. Russia wanapondwa vzr tu sijui huyu jamaa yuko dunia ya ngapi..
Madhara ya kupondwa yako wapi!?
Yani ufananishe shambulizi la Oreshnik na hivyo vifataki anavyorusha Ukraine!?
 
Back
Top Bottom