zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Gharama kubwa sana.Mimi ni achoshindwa kuelewa Kwa Nini mzalendo wa Dunia putini anashindwa kuzitumia hizo silaha za ICBM Kila siku ili kupata ushindi mapema kabisa?Maana katumia maramoja tu na imeleta kuliko ulaya nzima.
Ingawa kwa hadharani NATO bado wanajimwambafai lakini kiuhalisia wamenywea sana!!
Tangu hypersonic missile ya Urusi isambaratishe kiwanda cha kijeshi cha kutengenezea makombora/missiles, hautaisikia tena Ukraine ikiishambulia Urusi kwa kutumia makombora ya masafa marefu waliyoruhusiwa na marekani, uku na ufaransa wayatumie dhidi ya urusi!!
Waliruhusu hadharani lakini wamezuia kimya kimya kwa aibu!! Chezea Putin weye!!
Izo silaha ni hatari Kwa viumbe haiMimi ni achoshindwa kuelewa Kwa Nini mzalendo wa Dunia putini anashindwa kuzitumia hizo silaha za ICBM Kila siku ili kupata ushindi mapema kabisa?Maana katumia maramoja tu na imeleta kuliko ulaya nzima.
Unaumwa takko weweKaeni hivyo hivyo Jana Ukraine kalipua mifumo ya ulinzi ya Rusia ndani ya Kursk
Ukraine hajawahi kumiliki nyuklia hata moja, kilichotokea zile ni nyuklia za Russia zilikuwa sikihifadhiwa huki Ulraine ambapo lilikuwa ni jeshi la kijana na huko Urusi ni jeshi jekundu hi yo Ukraine karudisha silaha za watu acha kukariri tu.Ataviwezaje wakati siraha zake zote kali zikiwemo nyuklia aliwakabidhi Warusi. Matokeo yake Mrusi kamsaliti Ukrein
Colonel General GENNADY ANASHKIN, the commander of the South Forces Group.Mafanikio ya Russia kwenye uwanja wa vita wala hayataki picha Jina la kamanda alofukuzwa tafadhali
Nilikuwa natafuta comment hii kwa mtu anayejua mambo kama mimi. Russia wanapondwa vzr tu sijui huyu jamaa yuko dunia ya ngapi..Kaeni hivyo hivyo Jana Ukraine kalipua mifumo ya ulinzi ya Rusia ndani ya Kursk
Madhara ya kupondwa yako wapi!?Nilikuwa natafuta comment hii kwa mtu anayejua mambo kama mimi. Russia wanapondwa vzr tu sijui huyu jamaa yuko dunia ya ngapi..