SI KWELI Kishindo cha Maandamano ya July 7, kufunguliwa kwa Shule kwaahirishwa

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Kama huiamini JF basi unahitaji maombi
Nisingeiamini nisingepoteza muda kukuuliza source. Nimeamini ndo maana nakuuliza, unless wewe ndo unaamua shule zifunguliwe lini, au taarifa bado si official otherwise kuna sehemu umeitoa hii habari. Tunaomba source kama hutojali.
 
Jukumu la kuilinda hii nchi ni jukumu letu wote,je wewe mkuu upo upande upi?

Kwasababu maandamano ni haki ya wananchi Kwa mujibu wa katiba.

Lakini je,wote tuna Elimu ya maandamano?

Kilichotokea 29 October mm mwaka jana, ilikuwa ni maandano,au fujo?

Kama Una akili timamu usiandamane.
Uhai na ustawi wako ni wa Thamani
 
Nisingeiamini nisingepoteza muda kukuuliza source. Nimeamini ndo maana nakuuliza, unless wewe ndo unaamua shule zifunguliwe lini, au taarifa bado si official otherwise kuna sehemu umeitoa hii habari. Tunaomba source kama hutojali.
Soma tena Uzi pale juu, majibu yako utapata
 
Reactions: Tsh
Viongozi wetu hawana uwezo kabisa wa kutatua changamoto na kuambiana ukweli. Washauri wanasikilizia Samia ataamuaje
 
Hujaeleweka, Kama Maandamano ni Haki unachoogopa nini?
 
Hawa watu ni mashetani wa kutupwa. Why usiwape ulinzi watu wakaandamana na siku ikapita? Why all this tension?

Nimeona clip inaonesha Sugu akikamatwa kuwa amefanya mkutano, ni kweli? Erythrocyte
kwa hiyo wafuasi wa Sugu wameshindwa kuzuia kiongozi wao asikamatwe halafu mnajazana ujinga mitandaoni kwamba mnakwenda kukomboa nchi.
 
Hujaeleweka, Kama Maandamano ni Haki unachoogopa nini?
Mimi siwezi kuogopa, ila nifafanulie kilichofanyika 29 October ilikuwa ni maandamano au nini?

Msiwaponze watoto wa wenzenu,wa kwenu mmewafungia ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…