SI KWELI Kishindo cha Maandamano ya July 7, kufunguliwa kwa Shule kwaahirishwa

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Nikwambie tu watu wapo tayari kuilinda na kuhakikisha usalama wa Raia na Nchi yetu ,andamani muone
Kama watu watatoka na wakatokea watu wengine wanaozuia wengine wasitoke nje ya polisi hakuna usalama hapo, hivyo ni vita vya wenyewe kwa wenyewe.
 
Nyerere alitaka vijana wasiwe goigoi, wailinde katiba na haki ya wananchi
 
kwanini umewaza kwamba huyo atakuwa mtu wa uvccm ?
haiwezekani akawa a free thinker ?
Anataoika alicholishwa na viongozi wake. Ana sound familiar sana na kinacho imbwa na viongozi majukwaani hivi karibuni
 
Anataoika alicholishwa na viongozi wake. Ana sound familiar sana na kinacho imbwa na viongozi majukwaani hivi karibuni
haiwezekani mtu akawa huru na akatoa mawazo yake ynayofanana na hao watu wa ccm ?

kwa mfano TLS hutoa matamko yanayowafanya waonekane kama wapo upande wa Chadema, lakini ndani ya TLS wapo watu wengi kuanzia watumishi wa serikali, mawakili wenye itikadi za upinzani na hata wa Chama tawala.
 
Nisingeiamini nisingepoteza muda kukuuliza source. Nimeamini ndo maana nakuuliza, unless wewe ndo unaamua shule zifunguliwe lini, au taarifa bado si official otherwise kuna sehemu umeitoa hii habari. Tunaomba source kama hutojali.
Nakazia hoja. TAMISEMI au Serikali inatenda kwa kutoa Taarifa au Maelekezo kwa Maandishi/Waraka.
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…