SI KWELI Kishindo cha Maandamano ya July 7, kufunguliwa kwa Shule kwaahirishwa

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Hatujawahi kudanganya
Mbona haujibu swali? Inawezekana ndo unaanza au. Tulitegemea jibu liwe TAMISEMI ukitaja barua Ref. Na....... ya tarehe....... au Sina chanzo. (Short and Clear)..majibu ya Kitanzania dah!
 
Zoom na ujisomee mwenyewe, daa nchi yenu hii?

 
Yakifeli 7/7 basi target iwe ni siku ya ufunguzi wa AFCON.

Hapo kwenye AFCON inawezekana 100% na nchi itakombolewa hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…