Chapa mpaka ilale
Senior Member
- May 17, 2018
- 152
- 159
Usipoteze mda kuwajibu wametumwa hao hata ukeshe unamuelewesha hawezi kukuelewa watu kama hao dawa yao moja tu kuwapuuzaHivi unaijua maana ya dikteta?!
Kwanini mnapenda kukaririshwa sana, yaani JF bado haisaidii kupunguza wajinga Tanzania, sijui mtajifunza wapi tena!.
Sent using Jamii Forums mobile app