Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alifanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala, ambapo alitembelea baadhi ya wodi za mama na mtoto.
Siku kadhaa baadae timu ya ufuatiliaji na tathmini ikapita katika hospitali hiyo ili kuangalia mapokeo na furaha waliyo nayo wananchi hao wakiwemo na wagonjwa wanaoendelea kupatiwa matibabu hospitalini hapo.
Tazama kishindo chake hapa