Kama kawaida ya chama makini cha watu na watanzania kila kinapokohoa tu lazima asubuhi au usiku huo huo tushuhudie matamko ya serikali.
Ni juzi tu Mh Mbowe alikohoa kuhusu tozo basi baraza la mawaziri halikulala.
Juzi na jana Kamati kuu ya Chadema ikideal na maswala mtambuka ya Nchi ikiwemo unyanyasaji unaofanywa na serikali ya CCM.
Aisee sijui nani kawatonya kinachoendelea leo wameamka mbio mbio kuyakana yale waliyoamini.😅😅