Kishindo Kamati Kuu Chadema, Serikali imefuta Tozo ghafla

Kishindo Kamati Kuu Chadema, Serikali imefuta Tozo ghafla

Nazani Jumba Kuu walituacha maji marefu. Hawakuwalinda Wazee wa vijijini tangu mwanzo.

[qQUOTE="Ngorunde, post: 43802854, member: 605"]
Kama chadema inahusika kwenye punguzo la tozo basi ni vizuri.
Ila ninavyojua ni kelele za wananchi wenyewe walizopaza kila mahali ikiwemo huku mitandaoni

Watu wa siasa walituacha wenyewe kwenye hili.
Sio jambo zuri kudandia gari lilowashwa na wengine nakujifanya umeliwasha wewe...utaonekana kituko
[/QUOTE]
 
Mtu yeyote mwenye uelewa wa masuala ya kodi hawezi kushangilia kama zuzu suala hili…tuwe makini na mambo ya msingi!
 
Tozo gani imefutwa? Serikali haiwezi kuacha kutekeleza majukumu yake kisa eti mkutano wa wahuni
 
Watanzania tujifunze kumbe tukiwakazia hawa wafujaji wa mali za taifa wanabanwa pumzi.
Kuna tozo zimefutwa au zimepunguzwa tu, Mtu wanamwambia hatatakaye toa fedha chini ya elfu 30,000/ndiye hatatozwa,alafu mazuzu wanashangilia eti Serikali imefuta tozo,kweli vijana wa Chadema aliyewaita manyumbu akukosea.
 
Kama kawaida ya chama makini cha watu na watanzania kila kinapokohoa tu lazima asubuhi au usiku huo huo tushuhudie matamko ya serikali.

Ni juzi tu Mh Mbowe alikohoa kuhusu tozo basi baraza la mawaziri halikulala.

Juzi na jana Kamati kuu ya Chadema ikideal na maswala mtambuka ya Nchi ikiwemo unyanyasaji unaofanywa na serikali ya CCM.

Aisee sijui nani kawatonya kinachoendelea leo wameamka mbio mbio kuyakana yale waliyoamini.[emoji28][emoji28]
Mungu ibariki CHADEMA
 
Ujinga hapo ufipa ni mkubwa
CCM-kama-mbuni!.jpg

Chawa kindakindaki hana tofauti na mbuni kindakindaki!​
 
Back
Top Bottom