Kishindo Kamati Kuu Chadema, Serikali imefuta Tozo ghafla

Nazani Jumba Kuu walituacha maji marefu. Hawakuwalinda Wazee wa vijijini tangu mwanzo.

[qQUOTE="Ngorunde, post: 43802854, member: 605"]
Kama chadema inahusika kwenye punguzo la tozo basi ni vizuri.
Ila ninavyojua ni kelele za wananchi wenyewe walizopaza kila mahali ikiwemo huku mitandaoni

Watu wa siasa walituacha wenyewe kwenye hili.
Sio jambo zuri kudandia gari lilowashwa na wengine nakujifanya umeliwasha wewe...utaonekana kituko
[/QUOTE]
 
Mtu yeyote mwenye uelewa wa masuala ya kodi hawezi kushangilia kama zuzu suala hili…tuwe makini na mambo ya msingi!
 
Tozo gani imefutwa? Serikali haiwezi kuacha kutekeleza majukumu yake kisa eti mkutano wa wahuni
 
Watanzania tujifunze kumbe tukiwakazia hawa wafujaji wa mali za taifa wanabanwa pumzi.
Kuna tozo zimefutwa au zimepunguzwa tu, Mtu wanamwambia hatatakaye toa fedha chini ya elfu 30,000/ndiye hatatozwa,alafu mazuzu wanashangilia eti Serikali imefuta tozo,kweli vijana wa Chadema aliyewaita manyumbu akukosea.
 
Mungu ibariki CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…