Wavaa kobasi bana eti kinachoendelea mashariki ya kati [emoji2][emoji2][emoji2]
Waarabu wanauana wenyewe kwa wenyewe miaka yote ila hutasikia chochote wala Yemen wameuana sana hapo juzi kati ikiwemo wanawake na watoto,Pale Syria wamepigana muda sana Tangu arab spring 2011 mpk Assad katumia chemical weapon wamekufa maelfu kwa maelfu na population displacement kubwa sana watu kukimbilia Ulaya nk,Iraq huko usiongee na wale wahuni wa ISIS,Huko Iran maandamano juzi Wamekufa wanawake kibao na watoto ila hutaskia maandamano yakifanyika Berlin, London, Washington Paris au Melbourne kutoa kauli za ceasefire,wito wa Amani nk nk
Sasa njoo kwa Israel Vs Palestina yaani Oct 7 Hamas wamevamia wakaua,wakachoma vitoto kwenye mafuta,wakaua watu vitandani mwao wakachukua mateka 240+ ikiwemo watoto zaidi ya 30+ na wazee km 70+.
Nchi yeyote inapovamiwa hivi lazima ijitetee hata km ingekua ni Tanzania lazima ingejitetea.
Hakuna Nchi inayopigana vita yeyote peke yake hicho kitu hakipo lazima uwe na washirika wa kukusaidia silaha,fedha,wanajeshi au hata kauli tu za kukuunga mkono.
Sasa Israel imeanza kujibu vilio kila kona maandamano Kila Mahali [emoji2][emoji2][emoji2]kaa kwa kutulia Bibi.