Kishindo kikubwa Houston Marekani

Kishindo kikubwa Houston Marekani

Wavaa kobasi bana eti kinachoendelea mashariki ya kati [emoji2][emoji2][emoji2]

Waarabu wanauana wenyewe kwa wenyewe miaka yote ila hutasikia chochote wala Yemen wameuana sana hapo juzi kati ikiwemo wanawake na watoto,Pale Syria wamepigana muda sana Tangu arab spring 2011 mpk Assad katumia chemical weapon wamekufa maelfu kwa maelfu na population displacement kubwa sana watu kukimbilia Ulaya nk,Iraq huko usiongee na wale wahuni wa ISIS,Huko Iran maandamano juzi Wamekufa wanawake kibao na watoto ila hutaskia maandamano yakifanyika Berlin, London, Washington Paris au Melbourne kutoa kauli za ceasefire,wito wa Amani nk nk

Sasa njoo kwa Israel Vs Palestina yaani Oct 7 Hamas wamevamia wakaua,wakachoma vitoto kwenye mafuta,wakaua watu vitandani mwao wakachukua mateka 240+ ikiwemo watoto zaidi ya 30+ na wazee km 70+.

Nchi yeyote inapovamiwa hivi lazima ijitetee hata km ingekua ni Tanzania lazima ingejitetea.

Hakuna Nchi inayopigana vita yeyote peke yake hicho kitu hakipo lazima uwe na washirika wa kukusaidia silaha,fedha,wanajeshi au hata kauli tu za kukuunga mkono.

Sasa Israel imeanza kujibu vilio kila kona maandamano Kila Mahali [emoji2][emoji2][emoji2]kaa kwa kutulia Bibi.
hawa watu ni psychopaths
wenyewe wakipiga ni sherehe kwao ni sawa na ni jambo LA kupongezwa ila Israel ikijibu wanaanza kulia

Hamas hawajifunzi kitu cha muhimu siku zote ukianzisha vita Israel uwe na uhakika wa kushinda tu maana ukishindwa Kuna kipande chako kinamegwa na kua part ya Israel
saiz tunaona Gaza kaskazini nini kinatokea
 
Hakuna nchi inapigana peke yake inapopigana na nchi nyingine. Sasa Israel Hamas tu inaomba msaada wa Marekani wakati nijeshi lakisasa na Bora duniani hicho ndio kinatushangaza wengi.
Baada ya kupewa kipondo cha mbwa mwizi Gaza🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa Israel Hamas tu inaomba msaada wa Marekani wakati nijeshi lakisasa na Bora duniani hicho ndio kinatushangaza wengi.
Hamas nao waombe kamikaze kutoka Iran, mbona ni majirani halafu ndugu kabisa.
 
Baadhi ya wakazi wa Houston alfajiri ya leo 9/11.2023 wametaharuki kwa kuamshwa na kishindo kikubwa kilichofatiwa na moshi mkubwa kilichotokea kwenye kiwanda kimoja cha makemikali. Kishindo na moshi kilisikika na kuonekana karibia Houston yote.

Haijajulikana kishindo hicho kimeababbishwa na nini. Jionee camera y ausalama ya mlangoni kwa mtu imerikodi hivi:

View attachment 2809235
Inawezekana makatili ya mujahidini yamehusika.
 
Sio Hauton ni Houston hivi huko shule ulienda kusomea ujinga? Alafu unaleta habar humu hata ww mwenyewe huelew nn kilichosababisha unataka tukueleweje?
 
Baadhi ya wakazi wa Houston alfajiri ya leo 9/11.2023 wametaharuki kwa kuamshwa na kishindo kikubwa kilichofatiwa na moshi mkubwa kilichotokea kwenye kiwanda kimoja cha makemikali. Kishindo na moshi kilisikika na kuonekana karibia Houston yote.

Haijajulikana kishindo hicho kimeababbishwa na nini. Jionee camera y ausalama ya mlangoni kwa mtu imerikodi hivi:

View attachment 2809235
Kishindo Houton, Marekani kinatuhusu nini ? Vishindo vya Nachingwea na wenyewe Marekani wanahadithiana ?

Beat the hell outta here with that irrelevant nonsense. Ulimbukeni mtupu.
 
Nataman sana waislam wafanye maangamizi ya kushtukiza kwenye hii nchi, mengi ya kutosha ikiwezekana yamfikie na yule mzee anayedindoka kwenye majukwaa kila siku
Wakiigusa hiyo na ikiwa ndio wamefanya hivyo amini na kuambia muhusika anaenda kuwa jivu yaani haina mjadala. Iwe kahusika yeyote kwenye hii dunia lazima akapigwe. Sio rahisi kama unavyo jidanganya😁😁😁
 
Baadhi ya wakazi wa Houston alfajiri ya leo 9/11.2023 wametaharuki kwa kuamshwa na kishindo kikubwa kilichofatiwa na moshi mkubwa kilichotokea kwenye kiwanda kimoja cha makemikali. Kishindo na moshi kilisikika na kuonekana karibia Houston yote.

Haijajulikana kishindo hicho kimeababbishwa na nini. Jionee camera y ausalama ya mlangoni kwa mtu imerikodi hivi:

View attachment 2809235
One of psychopath wa dini tulie nae humu Jf
 
Baada ya kupewa kipondo cha mbwa mwizi Gaza🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa msaada wa watu wa Marekani, ingepigana na nchi kama Ukrein ingetoboa kweli?. Propaganda nimbaya sana, inapigana na nchi ambayo Haina drone hata Moja, makombora hata ya masafa mafupi Haina. Kiukweli Israel nitoafuti nawengi tulivyoaminishwa na Media.
 
Baadhi ya wakazi wa Houston alfajiri ya leo 9/11.2023 wametaharuki kwa kuamshwa na kishindo kikubwa kilichofatiwa na moshi mkubwa kilichotokea kwenye kiwanda kimoja cha makemikali. Kishindo na moshi kilisikika na kuonekana karibia Houston yote.

Haijajulikana kishindo hicho kimeababbishwa na nini. Jionee camera y ausalama ya mlangoni kwa mtu imerikodi hivi:

View attachment 2809235
Hapo lazima

WananchI waelekezwe kukaa mbalI na Wavaa KOBAZ na Vipedo!!

Siyo jamii ya kuishi nayo!!
 
Back
Top Bottom