Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu punguza kuwadhihaki walimu, Nadhani bila wao hata usingeweza kuandika huu utumbo wako.Walimu bhana hamjui hata matumizi yake na inaonekana hulali mda wote unawaza kukipata kishikwambi dah
Unaweka line ya simu.ISP ni nan au Ina WiFi?
Well said. Hakuna msomi anaedharau fani ya mwingine, otherwise ni mbabaishaji.Mkuu punguza kuwadhihaki walimu, Nadhani bila wao hata usingeweza kuandika huu utumbo wako.
Mimi sio mwalimu Ila the way unavyowazungumzia sio poa Mkuu, maana Nina ndugu na jamaa ambao ni walimu.
Naona mada zako nyingi unawaponda hawa watu. Unaweza kuwa na Nia nzuri ya kuwakosoa Ila namna unavyobehave sio poa Mkuu.
Mtu yeyote anayedharau taaluma ya mwenzie ujue hata taaluma yake haifahamu vizuri. Even a Gardener ana mengi ya kukufunza kuhusu Bustani. So heshimu taaluma za watu japo wenyewe Wana mapungufu Yao.
Hakuna taaluma iliyobora kuizidi nyingine huwa tunategemeana. Kuwa na heshima basi.
Sawahii itakuwa ni hatua nzuri sana kwa walimu kama watajifunza kuzitumia vizuri. Pia wizara nayo iendeshe mambo yake kwa e-governance, maana wan report nyingi sana za kujaza kila mwezi, kila muhula , mwisho wa mwaka kuzipeleka panapohusika, hii sasa ifanyike online. lakini pia walimu wanazweza kujifunza mambo mengi ya kielimu kupitia mtandao kwa mfano kupitia Khan academy n.k
Khan academy ni bando free?hii itakuwa ni hatua nzuri sana kwa walimu kama watajifunza kuzitumia vizuri. Pia wizara nayo iendeshe mambo yake kwa e-governance, maana wan report nyingi sana za kujaza kila mwezi, kila muhula , mwisho wa mwaka kuzipeleka panapohusika, hii sasa ifanyike online. lakini pia walimu wanazweza kujifunza mambo mengi ya kielimu kupitia mtandao kwa mfano kupitia Khan academy n.k