Kisiasa huwezi ukampuuza Haji Manara na ukamkumbatia Ali Kamwe na ukafanikiwa

This is crap!!!
 
Yanga viongozi wake wahuni tu, angalia walivyomkazia Feisal. Manara wakamdanganya kisha wamemkacha. Prince Dude amesajiriwa kisa ugomvi wa Yanga na Azam kwa Feisal.
Leo ndiyo mnakubali? Nifah alisema hapa jukwaani kuhusu hawa viongozi lakini akaonekana kama ana chuki tu, lakini leo tunaona kuwa aliona mbali.

Unafukuzaje kocha nguli halafu unaleta kocha anayekuja kujifunzia Yanga? Kwa sababu ni Mzungu? Ni uhuni na kudharau tu mashabiki.

Ova
 
Tena wamenitukana sana mchumba angu! Uzuri wa mpira ni mchezo wa wazi, kila mmoja ameona.
 
Tena wamenitukana sana mchumba angu! Uzuri wa mpira ni mchezo wa wazi, kila mmoja ameona.
Acha kujipa umuhimu wewe you lonely kibungo. Wewe hujui lolote kuhusu football katafute comment kwenye mambo mengine upate wateja hujui football kumfikia hata nusu hersi hujui leadership hata kiduchu kumfikia hersi.
 
Ndio shida hii 0 fact but matusi. When mtaweka hisia pembeni na kujibu kwa hoja?
 
Ndio shida hii 0 fact but matusi. When mtaweka hisia pembeni na kujibu kwa hoja?
Kwa bahati mbaya siku hizi kulielewa soka inahitaji akili kidogo, ndiyo maana kuna watu wanageuka kituko. Wakitaka kujua uzito wa kufungwa mechi tatu mfululizo, wajiulize mara ya mwisho ni lini ya kufungwa mechi tatu mfululizo.

Ova
 
Yanga viongozi wake wahuni tu, angalia walivyomkazia Feisal. Manara wakamdanganya kisha wamemkacha. Prince Dude amesajiriwa kisa ugomvi wa Yanga na Azam kwa Feisal.
Wewe kweli wa kusoma ndo mana kwenye L wewe huweka R
Chevishenko alitoka AC milani kuja Chelsea timu hizi mbili zilikuwa na ugonvi?
Tores kutoka Liverpool to Chelsea je?
Au unafuatilia ya lupaso tu???
 
Wewe kweli wa kusoma ndo mana kwenye L wewe huweka R
Chevishenko alitoka AC milani kuja Chelsea timu hizi mbili zilikuwa na ugonvi?
Tores kutoka Liverpool to Chelsea je?
Au unafuatilia ya lupaso tu???
Wewe hiyo ugonvi ni lugha Gani umetumia?
 
Naona Manara umekuja kujipa uspecial
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…