Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Wengi wetu huamini Kikwete ni master wa siasa uchwara jambo ambalo si kweli!
Kwanini;
Unamfahamu mwamba mmoja anaitwa Uhuru Kenyatta?
Uhuru mwaka huu ndiye atadhihirisha umwamba wake wa siasa za East Africa.
Rejea Lowasa na Kikwete na utakuwa upo nyuma ya wakati ukifikiri urafiki wa ghafla wa Uhuru na Raila ni wa kweli!
Ukweli ni kwamba Uhuru ali-fake urafiki wake na Raila ili uwepo utulivu ndani ya Utawala wake kwa kipindi cha mwisho na si vinginevyo.
Uhuru ni Ruto na wame fake ugomvi kumzubaisha Raila ili atulie na uchaguzi ukikaribia amini nawaambia mzee Raila huenda akadondoka na presha na hii ni kwa sababu kambi yote ya Uhuru itahamia kwa Ruto na ndivyo mpango ulivyopangwa from day 1 ya hand shake.
Hapo ndipo u mafia wa siasa utakuwa upande wa Uhuru na si Kikwete.