Kisiasa na Kimuungano hili linaelewekaje?

Tardy

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
1,287
Reaction score
1,607
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lina kamati mbalimbali huwa wanazunguka kila mkoa,Ila sijawahisikia wakikagua miradi ya Zanzibar.

Hili ni Bunge la Tanganyika?
Kichwa kinauma sana kufanya utafiti wakujua ni Bunge la Jamhuri au la Tanganyika.

Nini kazi ya wabunge wanaotoka visiwani kujadili hoja za Jamhuri halafu kamati haziendi kukagua?
 
Wanaenda bana kwa miradi ya Muungano. Kule kuna TRA, TPF, JWTZ, NECTA, Matawi ya taasisi za elimu ya juu, BOT etc
 
Wanaenda bana kwa miradi ya Muungano. Kule kuna TRA, TPF, JWTZ, NECTA, Matawi ya taasisi za elimu ya juu, BOT etc
Hivi wazanzibar nao wanapiga necta kama ya huku bara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…